Biashara ya salon za kiume na kike

Wadau naombeni wenye uzoefu na hii biashara je nikiwa na milioni 15 naweza fungua BERBAR SHOP ya maana na pesa zangu zikarudi haraka.Aksanteni
Zingatia watoto wazuri, sexy, mambo ya massage nk
 
Duh na wewe hesabu zako zimezidi,kiti cha scrub ni 500,000 tu na sio hiyo bei yako.hata viti vya kunyolea unaweza pata kwa laki 6 tu vikiwa 2 tena quality kabisa
 
Ha
[QUOTE="Zanzibar Spices, post: 9702319, member: 156820
 
Naamini miongoni mwa watu wanaotumia pesa saloon ni kina dada sasa naona nimuda wangu wakujua mtaji wa kuanzisha saloon na vitu vinavyoitajika katika kufungua saloon kubwa ya kinadada.NAOMBENI UJUZI TAFADHARI WANA JF
 
Mchanganuo wa kijasiliamali
 
Nimependa maelezo yako, nimechanganya na ya kwangu nimepata jambo zuri zaidi linalo nifaa.
 
NIPE

nipe contact zako basi, nipo njiani kufungua hii biashara ila sina details nimeanza kwa kupata pango, na nimeshanza kurikarabati
 
Habar wa wakuu,!!
Mimi ni mjasiriamali ilhali nafanya kazi, nimebuni mrad wa saloon na nipo katka hatua ya mwisho kukamilisha, so ningependa kujunzwa mwenye uelewa kwa upande wa hiyo biashara, ni changamoto zip zilizopo katika bisha hiyo? Na ni Jina ngan niandike ili liwe na mvuto kwa wateja? Pls maon yenu wakuu ntayafanyia kaz,
Natanguliza,
 
Asante mleta uzi nashukuru Kuna kitu nimejifunza kuhusu biashara hii
 
Simple :-
  • Bandika bei, na mteja always achajiwe na bei anayoiona, kusiwe na ubabaishaji kwenye hili
  • Mteja mfalme, akaribishwe vizuri na kwa heshima, na ahudumie vyema
  • Kusiwe kijiwe cha umbeya, zogo, makelele ya radio au TV
  • Vyombo vya kunyoa au kuhudumia kichwa cha mteja viwe visafi na kusafishwa barabara
  • Pawe pasafi na pa kuvutia
Hayo tu, mengine wataleta wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…