Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Duh......tuma kwa Mpesa kwenye namba zangu kisha ntakutumia Barber shop kwa WhatsApp
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zingatia watoto wazuri, sexy, mambo ya massage nkWadau naombeni wenye uzoefu na hii biashara je nikiwa na milioni 15 naweza fungua BERBAR SHOP ya maana na pesa zangu zikarudi haraka.Aksanteni
Duh na wewe hesabu zako zimezidi,kiti cha scrub ni 500,000 tu na sio hiyo bei yako.hata viti vya kunyolea unaweza pata kwa laki 6 tu vikiwa 2 tena quality kabisaBarber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000
2.kiti cha scrub @1, 500, 000
3.fetlizer @350, 000
4.machine za kunyolea @150, 000
5.tv and radio
6 .air port chair @500, 000
Hii ndio rougly bajet km frame ipo poa mean ac, vioo
Mchanganuo wa kijasiliamaliMakadirio kwa salon ya kawaida ya kike dryer 2pcs@ 150000, steamer dryer 1pc@ 250000, washing beseni 120000, viti vya plastic 6@ 12000, rollers za 100000 zinatosha kuanzia nunua size tofauti, mataulo 50000 nenda mitumbani utapata biashara ikikua utanunua special za salon, vitana/chanuo 20000, madawa ya nywele/mafuta/shampoo /steaming/wanja/powder etc 200000 jumla kama 1.3 lakini tembelea maduka mbalimbali bei inaweza pungua/ongezeka .Hiyo bei ni kwa madryer ya stand sio ukutani. Salon ya kiume sijui
Nimependa maelezo yako, nimechanganya na ya kwangu nimepata jambo zuri zaidi linalo nifaa.Mimi sifanyi biashara hii Japo ni mteja wa saloon nzuri na nazipenda kweli kweli. Kwa upande wangu yafuatayo ni muhimu
Saloon ya kiume:
1. Fanya survey na maongezi ya kutosha na vijana watakao kua vinyozi, wengi wao huwa hawajielewi na wanakua na pozi kwa Wateja(customer care ya mhudumu kwa mteja ni muhimu sana) wavalishe uniform
2. Upate nyumba yenye nafasi in which itakua na section kama tatu au nne hivi, iwe na shaving pool, customer waiting area,washing and scrabbing chamber na massage room.
3. Mkuu uwe na mabinti wazuri kama watatu hivi, kwa ajili ya scrabbling,pedicure na manicure plus body massage. Make sure wanakua na uniform kali, siku nyingine vitenge,vikaptula,skin jeans ,tyt n.k. Make sure wanavaa uniform na wafundishe kauli nzur kwa Wateja.
4. Uwe na kafriji kwa saloon yako, make sure ktk bei zako za kunyolea na Huduma nyingine una include na kaela ka soda kwa mteja ila mteja asijue kua ananunua soda. Mteja akiwa nasubiria zamu ya kunyolewa unampa kasoda au Maji na vikaranga fulani amazing,Basi atajiona mfalme na kamwe yaani.
5. Utakapofungua chukua week mbili au mwezi kusoma mazingira ya biashara,then cha kufanya kwa vijana vinyozi unawapa hesabu ya siku au week, kua ww kijana jilipe ila kwa week niletee elfu 70 mezani. Hao ni vinyozi haihusiani na Huduma nyingine.
6. Unapofungua jitahd ndani ya mwezi wa kwanza wa kuanza,Nenda kwenye hit radio station moja ya hapo dom Fanya tangazo ili wakazi wa wajue zawadi ulowaletea.
Kwa saloon ya kike.
Mkuu hii kwa upeo wangu kama mkeo siyo expert wa mambo haya utapata tabu kiasi, management ya wahudumu wa saloon za kike ni ngumu sana.
Tatizo wadada wanafanya ktk saloon hizi hawatulii,wanarukaruka kama nkiwa,Leo yupo hapa,kesho Singida,keshokutwa Utaikuta Mwanza.
Ila ukipata waliotulia utapiga hela. Labda uwachukue na uwafanyie treatment nzuri kuwajenga kisaikolojia watulie. Sasa hapo itabid upate wa sekta zote.
Kusuka, kushonea sijui ndiyo mawigi sijui mawiving, make up n.k. yaan kila sekta iwe na mtaalamu kias ya kwamba hakuna mteja wa kuchomoka.
Customer care ni muhimu pande zote ..
That's all in me sir
Watu wanatoa mchanganuo kukomesha wenzao.Kukomoana
Ukizungumzua barbershop iyo m2 ni ela ya viti viwili tu
Na kama ni spiriti pamba ela iyo inweza kuyeyuka kwenye kodi ya fremu
Hakuna mtu anaweza kuja kwenye saloon ya m2 kufanya scrub kwani itakuwa baada ya kumuosha unamchafua kwa ushauri ni pm
Saloon ni kazi yangu. Yeyote mwenye wazo kama ilo anicheck ntamsaidia
wapi unakarabati ilo pangoNIPE
nipe contact zako basi, nipo njiani kufungua hii biashara ila sina details nimeanza kwa kupata pango, na nimeshanza kurikarabati
lipo mwanza mkuu, shusha nondo basi,wapi unakarabati ilo pango
Simple :-Habar wa wakuu,!!
Mimi ni mjasiriamali ilhali nafanya kazi, nimebuni mrad wa saloon na nipo katka hatua ya mwisho kukamilisha, so ningependa kujunzwa mwenye uelewa kwa upande wa hiyo biashara, ni changamoto zip zilizopo katika bisha hiyo? Na ni Jina ngan niandike ili liwe na mvuto kwa wateja? Pls maon yenu wakuu ntayafanyia kaz,
Natanguliza,