1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
mkuu hii biashara cha
1. kwanza kinyozi unaye?
hapa lazima umuibe kinyoz matata katika mitaa hiyo salon ilipo,, lengo ni kupata wateja wa uhakika,, yaan umuhamishe kutoka salon flani maharuhu ambayo inasumbua hapo, kinyozi mzoefu,
kinyozi asiyemzoefu atasababisha uione biashara ngumu
2. Umeme uwe na mita yako ya luku, hii itakusaidia kuondoa mabishano ya wewe na wenzako mnaochangia umeme,
3. Mashine ziwe original, sio zile za elfu 30, chukua zile za kuanzia 100000,
4. viti vya kisasa
5. pango sh? kwa mwaka?
6. Umeenda TRA? hao jamaa noma sana,
CHANGAMOTO KUBWA NI MAPATO
kama mapato yako chini ya elfu 50000 kwa wiki,, hapo hali tete,, inabidi vinyozi wawe wawili, ukiweka mmoja itakusumbua sana