Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

mkuu hii biashara cha

1. kwanza kinyozi unaye?
hapa lazima umuibe kinyoz matata katika mitaa hiyo salon ilipo,, lengo ni kupata wateja wa uhakika,, yaan umuhamishe kutoka salon flani maharuhu ambayo inasumbua hapo, kinyozi mzoefu,

kinyozi asiyemzoefu atasababisha uione biashara ngumu

2. Umeme uwe na mita yako ya luku, hii itakusaidia kuondoa mabishano ya wewe na wenzako mnaochangia umeme,

3. Mashine ziwe original, sio zile za elfu 30, chukua zile za kuanzia 100000,

4. viti vya kisasa

5. pango sh? kwa mwaka?

6. Umeenda TRA? hao jamaa noma sana,

CHANGAMOTO KUBWA NI MAPATO

kama mapato yako chini ya elfu 50000 kwa wiki,, hapo hali tete,, inabidi vinyozi wawe wawili, ukiweka mmoja itakusumbua sana
 
lipo mwanza mkuu, shusha nondo basi,
tafuta bei ya vitu unavyofikiria kuweka katika salun yako bila kusahau ukubwa wa eneo na kitu unachokifikiria
ila kila unapofikiria usisahau maisha alisi ya wenyeji wa ilo eneo usafi wao(muonekano) ili ujue kupanga bei ya kunyolea na ujue utarudisha besa yako kwa mda gani.
 
Jina andika hili OLD TRAFFORD CLASSIC SALOON , Ila inabidi unilipe maana ni brand yangu hyo
 
Simple :-
  • Bandika bei, na mteja always achajiwe na bei anayoiona, kusiwe na ubabaishaji kwenye hili
  • Mteja mfalme, akaribishwe vizuri na kwa heshima, na ahudumie vyema
  • Kusiwe kijiwe cha umbeya, zogo, makelele ya radio au TV
  • Vyombo vya kunyoa au kuhudumia kichwa cha mteja viwe visafi na kusafishwa barabara
  • Pawe pasafi na pa kuvutia
Hayo tu, mengine wataleta wengine
Asante kwa ushauri mkuu na mawazo yako ntalifanyia kaz
 
mkuu hii biashara cha

1. kwanza kinyozi unaye?
hapa lazima umuibe kinyoz matata katika mitaa hiyo salon ilipo,, lengo ni kupata wateja wa uhakika,, yaan umuhamishe kutoka salon flani maharuhu ambayo inasumbua hapo, kinyozi mzoefu,

kinyozi asiyemzoefu atasababisha uione biashara ngumu

2. Umeme uwe na mita yako ya luku, hii itakusaidia kuondoa mabishano ya wewe na wenzako mnaochangia umeme,

3. Mashine ziwe original, sio zile za elfu 30, chukua zile za kuanzia 100000,

4. viti vya kisasa

5. pango sh? kwa mwaka?

6. Umeenda TRA? hao jamaa noma sana,

CHANGAMOTO KUBWA NI MAPATO

kama mapato yako chini ya elfu 50000 kwa wiki,, hapo hali tete,, inabidi vinyozi wawe wawili, ukiweka mmoja itakusumbua sana
Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
 
Hamna biashara iliyoniendeaga vibaya kama hii..vinyozi wanakuja wakiona hamna wateja tu wanasepa..nimehustle nayo for 5 years adi leo ipo..

Designs ziwe zile kama za barbershops tu za kawaida ila cha msingi ni location ili uwe na uhakika wa vinyozi..ukiwa na location mbaya hata vinyozi hutopata utakua unakimbiwa kila cku...maana wanaangalia wateja..
 
Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
Sio awamu hii lakini, sasa hivi serikali imeamka sana kukusanya kodi na ushuru mbalimbali sidhani kama biashara ya saluni iliyo makini kama kuna njia unaweza ukakwepa kukata leseni na kulipa kodi labda utumie mbinu ya kujifichaficha ambayo nayo siyo nzuri sana hutakuwa huru kutekeleza biashara yako.
 
Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
Huo ushauri waliokupa hauna tofauti na kujinunulia kiwanja bila kwenda Ardhi kupata uhakiki wa kiwanja..Yale yale mazoea yetu, baadaye tunasaga meno..
Nenda TRA husika iliyo karibu, watakupa ushauri mkuu, kama ujuavyo hakuna sababu ya kubabaisha na kuwapa rushwa ya kijinga TRA!
haijailishi kama una banda au sehemu ya kudumu, so long as unapiga biz hapo lazima uumpe Kaisari haki yake..
 
Mkuu kuhusu pango nimetengeneza banda la kisasa na ni kubwa, na kuhus TRA kuna baadhi ya watu wanasema ukiwa na biashara inayotumia kibanda eti hauka cha lesen au TRA kukuingilia japo hapo cna ufahamu zaid,
sasa kama banda la kisasa watafika tu, jiandae tu hamna namna,, hii biashara nimedumu nayo 3 year, kwa sasa nimeachana nayo, baada ya kinyozi wangu kutofautia naye,,

nkapata mwingine lakini akashindwa,,

sasa nimepaki bus,, yaani nimerudisha mpira kwa kipa,,

ila usijali we fungus upambane
 
Leseni lazima..na process zote za kupata leseni lazma zipitiwe..na kodi juu lazma ulipe at business starup..tofauti na hapo lazma wapite wachukue mali ambapo utalazimika kufungua leseni kodi na fine ya leseni kugomboa mali.
 
sasa kama banda la kisasa watafika tu, jiandae tu hamna namna,, hii biashara nimedumu nayo 3 year, kwa sasa nimeachana nayo, baada ya kinyozi wangu kutofautia naye,,

nkapata mwingine lakini akashindwa,,

sasa nimepaki bus,, yaani nimerudisha mpira kwa kipa,,

ila usijali we fungus upambane
Biashara ya saluni ni ovyo sana yan
 
nlikuwa na drimz kubwa mno ktk hii biashara,, malengo yangu yalikuwa ku own 5 barber shop in town,

ila changamoto zikanichania drimz zangu,,

sasa nimechili kwanza naangalia fursa zingine,,

Anayefungua afungue tu,
 
Biashara yake kichaa sana yan..waliowin kwenye hii biashara wachache sana yan..nna experience nzuri sana adi nlijuta nliwekeza M 3 mwaka 2013 ila niliijutia ile ela kuliko kitu kingine chochote..kwanza anafungua ofisi mda anaotaka yy..akiamua anakuja akiamua haji..vinyozi washenzi sana..
 
Ndaaaah! Mwanipa muda mgum saana wakuuu kwa changamoto kaa hizo,
 
Nitachangia Kesho kuhusu uzoefu wangu katika hii biashara ya barbershop.Nimefunguwa mwaka 2015 Nashukuru Mungu mambo si mabaya
 
Back
Top Bottom