Biashara ya salon za kiume na kike

Sasa nitakuorodheshea manunuzi ya vifaa haraka haraka
Mashine lazma uwe nazo mbili moja original ambayo zinakuwa na warranty ya mwaka mmoja so unaweza kupiga kaz miaka miwili hv na hyo mashine wanauza kuanzia 125k-150k unatakiwa uwe na fake ile kwa ajili ya kuchongea na ndevu wanauza 30k kuna apron 20k kiti cha kukalika andaa 200k afu kuna kioo cha ukutani 70k afu kuna feni andaa 65k afu kaframe ka kuwekea vitu wanauza 250k ukichonga mwenyew 150k baada ya hapo weka mengneyo 100k
 
king herode, Nimependa huu mchanganuo kidogo umetufeva na kutetea sana sisi masikini at least nina u-screenshot fasta nijipange mwaka ujao.

So mkuu M1 kumbe inawezekana kuwa na saluni kabisa.
 
king herode,
Asante sana kaka nimekuelewa vizuri sasa nimepata mwongozo wacha nijiandae maana ni biashara ambayo naona walau ina changamoto chache
 
😎😎
 
Asante mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulikosea ulitakiwa uweke kipande kwa siku kama Bodaboda mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu wakubwa, habari za weekend, iko hivi nimejichanga changa nna milion tatu nataka nifungue salon ya kike, nahitaji kujua.

1.Changamoto yake
2.Nianze na drya ngapi pamoja na steamer
3.Vitu vidogo vidogo vya muhimu vya kuanza navyo

Eneo Dar
Natanguliza shukran
 
Anza na draya mbili. Mtu akitaka kufanya steaming unavisha kofia ya plastic. Usihau blow dryer.

Biashara ya saloon ni nzuri kama una huduma nzuri kama kusuka vizuri maana mtu anaweza ruka saloon 100 akamfuata msusi bora.

Changamoto ni kuliteka soko mpk uzoeleke utapiga miayo sana. Pia usimamiz mbaya hasa kwenye vitu kama dawa utaona unapata hasara tu dawa zinaisha hela huoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…