Biashara ya salon za kiume na kike

Asante sana Mungu akubariki umenipa mwanga
 
Ngoja na mimi nichangie huenda nikapata baraka pindi ukipata faida na ukapeleka fungu la kumi kwenye ibada, ila usisahau kuniombea niwe Kama mo dewji. Fanya hizi kuteka soko, hapo mtaani watafute wadada wawili, mashangingi ya mtaani, yanaongee Sana yakupigie promo kwa mtaani hapo. Wape ahadi kuwa utasukwa buree, kila mwezi aje na Rasta zake tu.

Njia ya pili, kila panapokuwa na rusha roho, kigoma, beseni, mwali anatoka, ndoa, na upuuzi unaendana na huo, nenda kwa DJ, mpe buku tano tu,mwambie nipigie promo mwanzo mwisho, atatangaza kila mda juu ya salloon yako na ubora wako.

Njia ya tatu, mtafute mkongo wa kiume mweke awe msaidizi wako, njia nne, mtafute muha kutoka Kigoma awe anapaka rangi huku unamlipa kwa mwezi, endapo mteja akija kusuka Rasta, basi mpe offer ya kupaka rangi mikono au miguu, mteja akija kuweka dawa mpe offer ya kupaka mkono mmoja rangi.

Naamini utapata wateja wengi tuu mpaka utawakimbia, kumbuka ukifanikiwa nenda katoe fungu la kumi huku ukiniombea mimi niwe kama MO WA SIMBA, ukigeuka agano hili la kutotoa fungu la kumi, utarudi kwenye zero. Wasalaam, wape salaaam MORSON KASIGN SIMBA.
 
Usafi muhimu sana na pia lugha nzuri ili kuwavutia wateja pia uthamini muda wa wateja wako akisema anakuja saa tano asubuhi siyo tena asubiri masaa mawili kabla ya kuhudumiwa. Kila la heri na baraka.

 
Asante sana mkuu nmekuelewa sana Mungu akubariki sana
 
Usafi muhimu sana na pia lugha nzuri ili kuwavutia wateja pia uthamini muda wa wateja wako akisema akipanga anakuja saa tano asubuhi siyo tena asubiri masaa mawili kabla ya kuhudumiwa. Kila la heri na baraka.
Asante barikiwa mkuu
 
Reactions: BAK
Congratulations
 
Hardwork pays, Hakikisha umekaa kimapambano haswa na daftari la mahesabu likae vizuri(ukinunua kopo la mafuta hadi likaisha hakikisha umejua limetumika kwenye vichwa vingapi). ukifeli hesabu utajikuta unazurura hapo hapo hakuna maendeleo

Time management, Make sure mtu akija kwako asikae zaidi ya Nusu saa akisubiri huduma.

Na atakaemaliza kusuka hakikisha ameondoka ili wengine wahudumiwe na sio aanze kupiga soga.

Jiweke Classic usilete mazoea sana na watu ila uwe mchangamfu (wakati akipata huduma au wakisubiri huduma) ila wakimaliza waende wabaki wahudumu tu.

Thank me later
 
We jamaa umewachukuliaje waha! Yaani waha ndio wa kunusanusa mapaja ya wanawake was mjini eenh!! Koma
 
Mkuu wewe inaelekea wewe ni mkongwe una uzoefu sana kwenye maisha ya uswahilini umenichekesha sana ikanijia picha fulani hivi kichwani.
Kuna yale mashangingi micharuko kila mtaa huwa hawakosi,kwenye sherehe utawasikia "WAPI TEMBO WANGU,HATA DRAFT LINA VYUMBA LAKINI HAVIPANGISHWI,WAPI MAMAA TEMBO WANGU SALOON NA KATI YA TANDIKA BUZA NDIO HABARI YA MJINI"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hahahahahahaha
 
Asante mkuu umenipa kitu cha maana sana nakushukuru Mungu akubariki sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nimewaonea wivu, kumbe wewe umemaindi!!
We unapenda kuvuta harufu ya makalio ya wanawake! We ni kiumbe gani unaependa harufu za k? Ukimpaka rangi anaachia na miguu,Mwe harufu yote unaimeza mhiiii!!!! Usione wivu ktk vitu vya hivyo,waonee wivu wenye maduka.
 
We unapenda kuvuta harufu ya makalio ya wanawake! We ni kiumbe gani unaependa harufu za k? Ukimpaka rangi anaachia na miguu,Mwe harufu yote unaimeza mhiiii!!!! Usione wivu ktk vitu vya hivyo,waonee wivu wenye maduka.

Wewe sema harufu tu, sijui ukisikia Uvinza unadhani iko wapi kama sio Kigoma... wapaka rangi wanawala sana wake zenu.
 
We unapenda kuvuta harufu ya makalio ya wanawake! We ni kiumbe gani unaependa harufu za k? Ukimpaka rangi anaachia na miguu,Mwe harufu yote unaimeza mhiiii!!!! Usione wivu ktk vitu vya hivyo,waonee wivu wenye maduka.

Acha hayo mengine, wivu nilioona mimi ni kwamba Waha wamekuwa branded kama wapaka kucha, kama ambavyo ukisikia Mangi na duka.... hilo tu mlamu zingatia branding achana na harufu.
 
Upo vizuri [emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…