Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

biashara ya mgahawa ni nzuri changamoto yake ni moja tu..wafanyakazi wanasumbua sana...yaani ukimpata leo kesho hayupo.hasa hawa wa mapokezi ndo shida maana mgahawa una wafanyakazi aina mbili wapishi na wahudumu au mapokezi...hawa wahudum unatakiwa upate wasichana wazuri wenye tabasamu hali kadhalika na wavulana sababu mteja anahitaji care ya hali ya juu sana.
..wafa
 
Saluni ya kiume utakuwa unanyoa we mwenyewe au utaajiri watu?? Na je mgahawa utaajiri au utakaa mwenyewe? Na una mtaji kiasi gani kwa kila biashara?
 
Nina mtaji wa 1.5 m
saloon ya kiume Nita weka Kinyozi wakuu
 
Nina mtaji wa 1.5 m
saloon ya kiume Nita weka Kinyozi wakuu
Salon mkuu sikushauri, kwangu naona mgahawa una tija na mzunguko mzuri kwa sababu chakula ni hitaji la muhimu la kila siku ,ila kunyoa wengine mara moja kwa miezi mitatu.
After all,ni ushauri tu,za kuambiwa changanya na za kwako
 
eneo la biashara hii inalenga aina ya wateja mf kama ni stendi ama ktk maeneo ya makazi
saloon ya kawaida isiyo classic yapendeza zaid ktk makaz coz wanafunz huonyoa kila mwezi
mgahawa wapendeza zaid maeneo ya biashara mf stend mtu kula inamlazimu kununua coz kwake mbali
changamoto ipi unaweza kuikabili ki uraisi mf saloon inategemea umeme bila umeme basi genereta utakuwa nalo
mgahawa wapishi na ushindan ktk maeneo yako
ni mawazo tu mkuu huenda umepata chochote
 
Saloon hua naiwaza sana,tena mimi nina m10 ila sijapata mzoefu wa kunipa mwanga
 
Kufungua saloon kiume ya kawaida inahitaji mtaji wa shilingi ngapi?
 
mimi nakushauri anza kawaida kwa ufugua saloon ya kawaida ili uwafikiwa wateja wa kwaida na wa kati,njinsi itakavyo kuwa utaweza kuboresha naa kuwafikia wateja wenya hadhi za juu...
 
Habari. Nataka kufanya biashara ya saloon ya kunyoa nywele wanaume pamoja na scrub. Naomba mnisaidie kujua gharama za vifaa vizuri vya saluni na upatikanaji wake. Mimi naishi mbeya na biashara itakuwa huko. Je mshahara wa kinyozi na mtu wa scrub kwa kuanzia huwa ni shilingi ngapi. Ushauri wenu utanisaidia mimi kutafuta mtaji sahihi wa kuanzia hii biashara .
Mkuu fanya unichek nkuuzie vifaa bei ya kawaida..
 
Bila kuwa na mbembwe za maneno mengi, mwaka huu nimeamua kudhubutu katika kujiajiri.

Napenda sana kufungua saluni ya kike na ya kiume mkoani dodoma, nataka kufungua hizi saluni ziwe za kiwango cha juu( huduma bora na iliyotukuka) naombeni msaada wa mawazo juu ya hii biashara changamoto zake,vifaa gani ni muhimu.

Natakiwa nifanye kitu gani kabla ya kufungua hii biashara, mtaji ni kiasi gani unahitajika, kwa wale wazoefu wa hii industry natanguliza shukrani zangu.
 
Mimi sifanyi biashara hii Japo ni mteja wa saloon nzuri na nazipenda kweli kweli. Kwa upande wangu yafuatayo ni muhimu
Saloon ya kiume:
1. Fanya survey na maongezi ya kutosha na vijana watakao kua vinyozi, wengi wao huwa hawajielewi na wanakua na pozi kwa Wateja(customer care ya mhudumu kwa mteja ni muhimu sana) wavalishe uniform

2. Upate nyumba yenye nafasi in which itakua na section kama tatu au nne hivi, iwe na shaving pool, customer waiting area,washing and scrabbing chamber na massage room.

3. Mkuu uwe na mabinti wazuri kama watatu hivi, kwa ajili ya scrabbling,pedicure na manicure plus body massage. Make sure wanakua na uniform kali, siku nyingine vitenge,vikaptula,skin jeans ,tyt n.k. Make sure wanavaa uniform na wafundishe kauli nzur kwa Wateja.

4. Uwe na kafriji kwa saloon yako, make sure ktk bei zako za kunyolea na Huduma nyingine una include na kaela ka soda kwa mteja ila mteja asijue kua ananunua soda. Mteja akiwa nasubiria zamu ya kunyolewa unampa kasoda au Maji na vikaranga fulani amazing,Basi atajiona mfalme na kamwe yaani.

5. Utakapofungua chukua week mbili au mwezi kusoma mazingira ya biashara,then cha kufanya kwa vijana vinyozi unawapa hesabu ya siku au week, kua ww kijana jilipe ila kwa week niletee elfu 70 mezani. Hao ni vinyozi haihusiani na Huduma nyingine.

6. Unapofungua jitahd ndani ya mwezi wa kwanza wa kuanza,Nenda kwenye hit radio station moja ya hapo dom Fanya tangazo ili wakazi wa wajue zawadi ulowaletea.

Kwa saloon ya kike.
Mkuu hii kwa upeo wangu kama mkeo siyo expert wa mambo haya utapata tabu kiasi, management ya wahudumu wa saloon za kike ni ngumu sana.

Tatizo wadada wanafanya ktk saloon hizi hawatulii,wanarukaruka kama nkiwa,Leo yupo hapa,kesho Singida,keshokutwa Utaikuta Mwanza.

Ila ukipata waliotulia utapiga hela. Labda uwachukue na uwafanyie treatment nzuri kuwajenga kisaikolojia watulie. Sasa hapo itabid upate wa sekta zote.
Kusuka, kushonea sijui ndiyo mawigi sijui mawiving, make up n.k. yaan kila sekta iwe na mtaalamu kias ya kwamba hakuna mteja wa kuchomoka.

Customer care ni muhimu pande zote ..
That's all in me sir
 
Aksante sana aisee, nimepata kitu kikubwa sana hapa.
 
Back
Top Bottom