Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

Hio pesa nyingi Mzee.. Tumia 6M tuu, weka mademu wakaliiiiiii wa kufanya scrub na super black, kuosha nywele afu urudi hapa baada ya week tatu...
 
Hio pesa nyingi Mzee.. Tumia 6M tuu, weka mademu wakaliiiiiii wa kufanya scrub na super black, kuosha nywele afu urudi hapa baada ya week tatu...
Milioni sita ndogo mkuu.nataka kitu kiwe classic ile hatari nataka nifungue mwanza
 
Milioni sita ndogo mkuu.nataka kitu kiwe classic ile hatari nataka nifungue mwanza
I think ikiwa classic sana kunawatu utawakosa. Ni bora iwe kawaida unapata wateja wa kila aina
 
Don't afraid to lose.Winning and losing is just party of the game
 
Milioni sita ndogo mkuu.nataka kitu kiwe classic ile hatari nataka nifungue mwanza
Duuu kumbe mwanza?????
Wasukuma wananyoana na nyembe. Nan ananyoa
Milioni sita ndogo mkuu.nataka kitu kiwe classic ile hatari nataka nifungue mwanza
Duuu kumbe mwanza?????
Wasukuma wananyoana na nyembe. Nan ananyoa salon.
Nakusahauri nunua mtumbwi tu
 
Duuu kumbe mwanza?????
Wasukuma wananyoana na nyembe. Nan ananyoa

Duuu kumbe mwanza?????
Wasukuma wananyoana na nyembe. Nan ananyoa salon.
Nakusahauri nunua mtumbwi tu
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3]
 
Kaka mm napambana na hali yangu wala sijafunzwa tabia zako za hivo nakula jasho langu, nakushauri tafuta ridhiki bila kumkwaza mtu
Kama unapambana kutafuta vya kwako basi vizuri! Sikuizi watu hamuaminiki, kila kona mpaka mitandaoni matapeli na majambazi yapo.
Ila nilitaka kujua kama wewe unaetaka tafutwa ni business consultant au nani?? Tueleze kidogo kuhusu background yako, unafanya nini na ofisi hipo wapi ili tuje kwa business advice!!
 
Back
Top Bottom