Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata nashukuru flow ni nzuri kikubwa ubunifu na kujitumaUmejitahidi Sana,,vipi flow ya wateja?,ulipatia location?
Hio baisikeli inauzwa wapi na bei ganiHapo juu kwenye picha ni baskeli nayofanyia delivery..na hilo ni banda nililonunua kwa ajili ya biashara
Kariakoo laki nane na ishirini.hio baisikeli inauzwa wapi na bei gani
Inakaa na chaji muda ganiKariakoo laki nane na ishirini.
Inategemea na matumizi bossinakaa na chaji muda gani
asante mkuuInategemea na matumizi boss
Thanks.kati ya tabata au sinza wapi pazuri
Kaka nimefatilia suala la korosho nimezipata kunamdau analeta mbagala rangi 3..ahsante sanaMkuu asante sana kwa kunikumbuka, nimependa sana kuwa na ofisi na ubunifu unaoendelea nao kama tende, karanga etc ninaamini utafika mbali sana kwa style hii. Hapo hakikisha unakuwa na aina nyingi za kahawa (ikiwemo kahawa za kutwanga/chenga kutoka kigoma,tanga, Kilimanjaro, bukoba) wengi tunazipenda kuliko za dukani na Kuna baadhi hawapendi strong/weak coffee pia kuwa na aina nyingi za majani ya chai bila kusahau green tea, tangawizi etc ili mteja achague anachopenda kama bar. Ukipata carton la korosho la 250,000 mtwara halafu unakaanga mwenyewe utaingiza faida ya maana sana
Nipo Darasante mkuu
vipi lakini upo dsm?
Mkuu kwani unaacha biashara ambayo unaimudu na kukimbilia changamoto mpya ambayo hujui hatma take?Habari za muda wakuu .nashukuru sana naendelea vizuri na haso.nimekuja kwenu na wazo jipya nimeuza biashara ya maziwa nikamalizia kibanda. Hivyo familia inamakazi sasa.nimebakiwa na 2m natarajia kutokomea baharini kwenye uchumi wa blue. Naanzia mafia kisha Comoros na destiny ni uholanzi..ila kwa kuanzia hapa mafia naenda kama mtu asiye na elimu walachochote. Naenda kulala dago na kufanya shughuli mdogo za kupaa samaki na kuwa chawa wa wavuvi na wafanyabiashara nguli...nipe neno kidogo kwenye hii mission mpya n.b tayari nina paspot na nishachanja yellow fever na covid
Faida ipo sana tu.ila muda wa samaki ndio huu mana nimekuwa nikisafirisha samaki wa mtu kwa muda..pia samaki nawamudu pia..na milango ya samaki kimafanikio ni mingi mmo..Mkuu kwani unaacha biashara ambayo unaimudu na kukimbilia changamoto mpya ambayo hujui hatma take?
Au biashara imekuwa haina faida sasa hivi?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu pambana..kijichi upo sehemu gani,mm Napatikana njia ya hapaFaida ipo sana tu.ila muda wa samaki ndio huu mana nimekuwa nikisafirisha samaki wa mtu kwa muda..pia samaki nawamudu pia..na milango ya samaki kimafanikio ni mingi mmo..
Sasa nawaza international business..
Uchumi wa blue ni mkubwa mno kaka..kina mwani .jongoo bahari na lobster pia kuna matumbawe...japo hii haso ni haso ya kutoka jasho kweli kweli..i need those dollars mzee
Mkuu kwani unaacha biashara ambayo unaimudu na kukimbilia changamoto mpya ambayo hujui hatma take?
Au biashara imekuwa haina faida sasa hivi?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
CcmSawa mkuu pambana..kijichi upo sehemu gani,mm Napatikana njia ya hapa