S seminarian Member Joined Jun 8, 2024 Posts 24 Reaction score 26 Dec 17, 2024 #1 Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
KelvinSmiler Member Joined Mar 2, 2022 Posts 7 Reaction score 19 Jan 6, 2025 #2 Kwa mtazamo wang changamoto ya kwanza itakua kweny kuwasafirisha bila kuharibika ina maana unahitaji uwasafirishe kwenye gari maalumu
Kwa mtazamo wang changamoto ya kwanza itakua kweny kuwasafirisha bila kuharibika ina maana unahitaji uwasafirishe kwenye gari maalumu
Traveller255 Member Joined Jul 19, 2020 Posts 5 Reaction score 4 Jan 23, 2025 #3 seminarian said: Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara. Click to expand... Mimi natoa migebuka ziwa tanganyika nasafirisha popote nchini tena wabichi
seminarian said: Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara. Click to expand... Mimi natoa migebuka ziwa tanganyika nasafirisha popote nchini tena wabichi