Biashara ya samaki

Well..Mimi na deal na sato,perege na sangara kwani soko langu linahitaji hivyi,..kama sok
o lako linahitaji Saladin,red sniper, colecole..its good for you ..cha msingi uweze kuwapa quality
Nazingatia sana usafi qauli nzuri kwa Wateja ila cna experience ya kutosha nimeanza hivi recently lakini progress iko vizuri na response ya Wateja iko poa kadr xku znavyoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well..Mimi na deal na sato,perege na sangara kwani soko langu linahitaji hivyi,..kama sok
o lako linahitaji Saladin,red sniper, colecole..its good for you ..cha msingi uweze kuwapa quality
Ndugu unawezaje kuwaandaa samaki wasikatike au kuharibika umbo baada ya kuwakaanga.

Unakuta unamtoa samaki fresh baharini lakini ukishamkaanga anamegukameguka na kupoteza ule mvuto wake

Pili unawezaje kumkaanga samaki mwenye limao na viungo kama vitunguu saumu na akabaki na ladha ya vitunguu saumu baada ya kumkaanga

Mi najaribu mara nyingi kuweka limao kwa ajili ya kukata shombo ila nikiweka na vitunguu baada ya kukaanga ladha ya vitunguu inapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Japo ni nje ya mada ila ningependa kuuliza kidogo.

Kwa kupima kwako sokoni samaki wanaopendwa ni wapi kati ya hawa wa maji baridi na wa baharini??

Ikiwa mtu akawa na supply kubwa ya samaki wa maji baridi ni bora akakaanga yeye na kuwauza moja kwa moja au akawa supplier tu , halafu akawaachia wachuuzi wadogo waingie sokoni??
 
Maji baridi itategemea kama unamtaji mkubwa 15-20M fungua fremu utapiga sana hela nmeona kama Maeneo ya Manzese, Sinza, Ubungo, Kimara, Mbezi na Mbagala watu wanapiga sana hela lakini kama mtaji mdogo 250-500k kaanga uza mapande nao wanalipa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu msaada mwenye ujuzi na hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda wadau,

Nataka kuanzisha biashara ya samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa victoria hapa Dar, naomba kujua sehemu wanaponunua kwa jumla au njia yoyote rahisi ya kuwatoa ziwani mpaka Dar.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni nani umemsikia kawa tajiri kwa kuuza samaki?
 
Habari za muda wadau,

Nataka kuanzisha biashara ya samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa victoria hapa Dar, naomba kujua sehemu wanaponunua kwa jumla au njia yoyote rahisi ya kuwatoa ziwani mpaka Dar.

Asanteni

Nipo Mwanza ni PM tufanye biashara nikutumie samaki mpk dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…