mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hakuna mahali aliposema anataka kuwa tajiri,yeye anataka kufanya biashara kwa ajili ya kuendesha.Hivi ni nani umemsikia kawa tajiri kwa kuuza samaki?
Akili kisoda.we hujui tu na hutojua...mdau fika pale mbezi kuna mabucha yanachukua hadi tani kumi yapo mengi tu..au mbagala pia..ukiwa na mzigo wanakupa connection ya kuletaHivi ni nani umemsikia kawa tajiri kwa kuuza samaki?
Kuna makampuni makubwa kama alpha crust na tanpesca..wengine wana export kwenda uchina na ulaya wewe zubaa tuHivi ni nani umemsikia kawa tajiri kwa kuuza samaki?
Bei ya sangara na sato inatofautiana. Sato siku zote iko juu. Kwenye kipindi cha mvua samaki wanapatikana wengi na kwa Bei nafuu. Kipindi hiki samaki sangara kilo kwa jumla ni 4500. Wakati sato anaenda mpaka 5500.
Samaki wanapimwa kwa kilo. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wenye mitumbwi yao au kutoka kwa walanguzi ambao wao huzinunua kwa wingi na kuzihifadhi Kwenye mafriza baada ya kuwatoa mautumbo na mabondo.
Hawa walanguzi ndiyo wenye Bei niliyokupa hapo juu. (Ukumbuke Bei hubadilika ) walanguzi hawahawa ukitaka samaki wanakufungia vizuri na kuwapakiza Kwenye mafuso. Fuso zote zinapakulia pale urafiki freti. Ila unalipia usafiri mwenyewe.
Kuhusu kibali mlanguzi huwa anakibali na mwenye fuso anakibali cha usafirishaji. Na ushuru utalipwa na mlanguzi. (Ukitaka namba ya mlanguzi utaniambia).
Bei ya kuuza huku samaki mbichi kilo ni kuanzia elf 8-10.
Of course ukitaka kuwa na frem lazima uwe na leseni nenda halmashauri na tra lazima ikuhusu.
Ukitaka nafuu sambazia mzigo ukiwa home kwako.
Nadhani pia Kuna mnada wa samaki alfajiri pale River side, na huko KimaraBei ya sangara na sato inatofautiana. Sato siku zote iko juu. Kwenye kipindi cha mvua samaki wanapatikana wengi na kwa Bei nafuu. Kipindi hiki samaki sangara kilo kwa jumla ni 4500. Wakati sato anaenda mpaka 5500.
Samaki wanapimwa kwa kilo. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wenye mitumbwi yao au kutoka kwa walanguzi ambao wao huzinunua kwa wingi na kuzihifadhi Kwenye mafriza baada ya kuwatoa mautumbo na mabondo.
Hawa walanguzi ndiyo wenye Bei niliyokupa hapo juu. (Ukumbuke Bei hubadilika ) walanguzi hawahawa ukitaka samaki wanakufungia vizuri na kuwapakiza Kwenye mafuso. Fuso zote zinapakulia pale urafiki freti. Ila unalipia usafiri mwenyewe.
Kuhusu kibali mlanguzi huwa anakibali na mwenye fuso anakibali cha usafirishaji. Na ushuru utalipwa na mlanguzi. (Ukitaka namba ya mlanguzi utaniambia).
Bei ya kuuza huku samaki mbichi kilo ni kuanzia elf 8-10.
Of course ukitaka kuwa na frem lazima uwe na leseni nenda halmashauri na tra lazima ikuhusu.
Ukitaka nafuu sambazia mzigo ukiwa home kwako.
.
Nadhani pia Kuna mnada wa samaki alfajiri pale River side, na huko Kimara
Ubungo, DarRiver side ni wapi?
Habari mkuu,Kama kuna mtu yuko serious mimi naleta samaki aina ya Sato 500 kila siku ambazo ni 3,500 kwa week kutoka Mwanza.. Nasambaza mahotelini na kwenye bars, Ni PM nauza kwa bei ya jumla samaki wa size ya nusu kilo Tsh 3,750 naanza kuchukua order kuanzia 50.
Ngoja waje...ila sidhani kama NATO wanahusika
We anza ukiona dalili za kukwama nione