Biashara ya samaki

Maswali haya hayajajibika, kabisa.
 
Wakuu,
Mimi ninafikilia kuanzisha Kampuni yangu, nataka kununua samaki Mwanza kutoka kwa wavuvi, niwakaushe kwa Oven na kuwakaanga kwa kutumia Air fryer alafu niwa pack kwenye package moja moja ,kwa mfano, Sato mmoja awe kwenye package yake na dagaa fungu la Tsh 5000, 2000 nk alafu nipeleke super market na madukani

Swali langu sasa kwenu, je biashara hii italipa ? Je mna ushauri wowote wa kuborosha hili wazo langu ? .kwa kifupi ni mnanishauri nini juu ya hili wazo ?

Oven na Air fryer naweza kununua,
N.B
Target yangu ni mkoa wa Arusha, Singida, Dodoma na wilaya ya Moshi
 
Umeambiwa hiyo mikoa haiwezi fanya hivyo?

Samaki pelekea mbichi akiwa kaganda
 
Umeambiwa hiyo mikoa haiwezi fanya hivyo?

Samaki pelekea mbichi akiwa kaganda
Kwa utafiti wangu niliofanya, hapa Tanzania kuna watu wachache wanaofanya hiyo biashara na wanauza dagaa tu kwenye package, hakuna kampuni / mtu anauza samaki wa kukaanga kwenye supermarket mikoa hiyo.

Asante pia kwa ushauri kuhusu kuuza samaki fresh, nimeifikilia pia hii, lakini mimi nilivowaza ni kuwauza hao samaki walioganda wakiwa kwenye package na wateja wangu wawe ni Hotels na supermarket

Je, wewe katika wazo ulilonipa la kupeleka samaki walioganda unadhani Targeted customers ni wapi ?
 
Samaki sio Dagaa
 
@mjusi kafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…