Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Ila dogo umeupiga mwingi miaka 21 una mitambo na mtaji mkubwa wakati weingine miaka 21 wako kidato cha 4/6Wadau mpo kimya nahitaj miongoz yenu mnaniangusha
Tupe mrejesho,, ulifanikiwa?Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.
Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.
NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Watu wa dar tumempigia sim aka akakataa katakata kwamba hana plani hiyoTupe mrejesho,, ulifanikiwa?
Hakuna na pesa ya biashara huendaWatu wa dar tumempigia sim aka akakataa katakata kwamba hana plani hiyo
Share sehem kamanda kuna wengi tuna idea hiyo hatujui pa kuanziba
Karibu nikupe ABC na kushauriana pia...Nipo mbagala.Share sehem kamanda kuna wengi tuna idea hiyo hatujui pa kuanzia
Asante mkuu naomba mawasiliano yako DMKaribu nikupe ABC na kushauriana pia...Nipo mbagala.
Inakuwaje mtu umefanikiwa kupata vyote hivyo.....Kisha unakuja kutuuliza maswali ya hivyo??? Unajisifu au watafuta kurogwa???Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.
Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.
NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Ile biashara ya bucha ya Kitimoto ulifanikiwa kuanzisha?Tupe mrejesho,, ulifanikiwa?
Nilianzisha ilidumu kama miezi 10 hivi nikafungaIle biashara ya bucha ya Kitimoto ulifanikiwa kuanzisha?
Biashara ya Bucha la Kitimoto (Pork Butcher)
Wajuvi wa JF Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii. Location nipo Dar es Salaam, mtaa ninaoishi naona bucha za nyama ya ngombe samaki na mbuzi lakini mdudu pemdwa...www.jamiiforums.com
Tupe mrejesho.