Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.

Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.

Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.

NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Tupe mrejesho,, ulifanikiwa?
 
Inakuwaje mtu umefanikiwa kupata vyote hivyo.....Kisha unakuja kutuuliza maswali ya hivyo??? Unajisifu au watafuta kurogwa???
 
Tupe mrejesho,, ulifanikiwa?
Ile biashara ya bucha ya Kitimoto ulifanikiwa kuanzisha?

Tupe mrejesho.
 
Nilianzisha ilidumu kama miezi 10 hivi nikafunga
Usimamizi nilikosa muda nikaona hasara kiasi
 
Back
Top Bottom