Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oy
Nicheki mkuu.Jaman wanajukwaa mm nafanya biashara ya simu second hand nataka kupanua wigo wangu nauliza kwenu mana nimeambiwa Zanzibar kuna chimbo za hizi simu mwenye uzoefu au mwenye kujua anisaidie kuhusu hilo chimbo ( simu second hand namaanisha simu used )
Jaman wanajukwaa mm nafanya biashara ya simu second hand nataka kupanua wigo wangu nauliza kwenu mana nimeambiwa Zanzibar kuna chimbo za hizi simu mwenye uzoefu au mwenye kujua anisaidie kuhusu hilo chimbo ( simu second hand namaanisha simu used )