Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 451
mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k
au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!
kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache
ukitaka spare za used za jumla tutafute tumefungua yard kubwa ya spare namagari.Sperpat mpya ni ghali sana kaka bora used
mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k
au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!
kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache
Mpo wapi?Nipeni contact zenu.ukitaka spare za used za jumla tutafute tumefungua yard kubwa ya spare namagari.
Nitakutafuta nijifunze zaidi maana nimempeleka mtu asome nianzishe hiiWakuu hii mimi pia ina nihusu. Jee kama nataka kwenda kuleta spare kutoka Japan nikaja kuuza jumla inakuwaje? Mtaji ni kati Million 45-70M
Tafadhali mwenye uzoefu na Biashara hii nataka kuanza kufanya hii biashara ya spear za Gari za japan naomba mnijulishewapi naweza kwenda kufata mzigo kwa nchi nje ni japan, Dubai, China?, spear original mpya sio zile za magumashi, na pia naomba changamoto zake
= spare
"spear" = mkuki.
Halafu wewe tunataka kufanya biashara ya "spare parts" za magari. Na si "spare" za magari. "Spare za magari" ni magari yenyewe. "Spare parts za magari" ni vipuli vya magari.