Biashara ya spare za magari Dar es salaam

Biashara ya spare za magari Dar es salaam

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Habari za jioni wadau,

Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari.

Naomba kujua kwa wenye uzoefu na hii biashara mtaji wa 15,000,000 Tanzania shilingi unaweza kuanzia na je nikitaka kuchukua mzigo kwa jumla niende wapi kwa hapa Tanzania au kuagiza nje ya nchi ni nch gani.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k

Au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!

Kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache
 
Spea za magari madogo mkuu
Ni mpya sio used but vile vile itategemea na ushauri kutoka kwenu kama spea gani nzur kwa kuanzia
 
mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k

au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!

kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache

Spea mpya kaka na ningependa ya magari madogo ya aina yote but ushauri wenu ni muhimu katika hayo yote
 
Wakuu hii mimi pia ina nihusu. Jee kama nataka kwenda kuleta spare kutoka Japan nikaja kuuza jumla inakuwaje? Mtaji ni kati Million 45-70M
 
mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k

au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!

kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache

Mkuu naomba msaada na mwongozo apo, mimi nataka kudili na spea used za suzuki carry na nissan civilian daladala, hapa spea zenyewe ni kama ingini, gia box na vikorokoro vyote vingine vinavyohusiana na hizi gari

MSAADA.
Zinapopatikana kwa bei nafuu ni wapi, maana nasikia kuna japan na dubai
Kama ni japan au dubai, je direction ya kufika uko vp, natua mji gani na ni sehemu gani zinapatikana
Manunuzi ni kwa kiasi gani, je naweza funga mzigo kidogo tu au mpaka contena
Mwisho kabisa vip kuhusu jinsi ya kulipia ushuru na ushuru upo vp

Msaada plz nahitaji kufanya hii business sema mambo kama ayo ndo yananiwekea kiza
 
Dah uzi ulikuwa wa madini sana huu ila bado hadi leo haujaweza kata kiu ya wahitaji....wakuu mwenye kujua masuala haya aje atupe ideas tupata fungua mawazo! Ama kama kuna uzi kama huu Modes tunaomba muunganishe tupate faidika kwa ujumla!
 
Wakuu hii mimi pia ina nihusu. Jee kama nataka kwenda kuleta spare kutoka Japan nikaja kuuza jumla inakuwaje? Mtaji ni kati Million 45-70M
Nitakutafuta nijifunze zaidi maana nimempeleka mtu asome nianzishe hii
 
Tafadhali mwenye uzoefu na biashara hii nataka kuanza kufanya hii biashara ya spear za gari za Japan naomba mnijulishe wapi naweza kwenda kufata mzigo kwa nchi za nje ni Japan, Dubai, China?Spear original mpya sio zile za magumashi, na pia naomba changamoto zake.
 
Japan mkuu, kuna jamaa yangu alikuwa anaenda na mafundi huko wa kukata kata magari...
 
Well biashara nzuri na faida yake ni kubwa.Wengine wananunua spear used(mtumba) ambazo ni original pia sanasana hufuata dubai.
 
Tafadhali mwenye uzoefu na Biashara hii nataka kuanza kufanya hii biashara ya spear za Gari za japan naomba mnijulishewapi naweza kwenda kufata mzigo kwa nchi nje ni japan, Dubai, China?, spear original mpya sio zile za magumashi, na pia naomba changamoto zake

= spare

"spear" = mkuki.

Halafu wewe unataka kufanya biashara ya "spare parts" za magari. Na si "spare" za magari. "Spare za magari" ni magari yenyewe. "Spare parts za magari" ni vipuli vya magari.
 
= spare

"spear" = mkuki.

Halafu wewe tunataka kufanya biashara ya "spare parts" za magari. Na si "spare" za magari. "Spare za magari" ni magari yenyewe. "Spare parts za magari" ni vipuli vya magari.


sawa bibi a.k.a kifimbo cheza nimekusoma
 
Back
Top Bottom