Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Habari za leo wanajamvi,

Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza

Karibu na ahsanteni
 
Fungua karibu na chuo chochote toa copy, print, matangazo tengeneza uza vitu vinavyo tumika sana vyuoni
 
Habari za leo wanajamvi,

Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza

Karibu na ahsanteni
Mambo ya kuzingatia sina uzoefu nayo

Ila naweza kukushauri kwenye location, jaribu kufungua mahali ambako kuna shule ama chuo karibu ama njiani ambako wanafunzi wanapita kwa wingi
 
Habari wanaJF

Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, Ubungo mtaa mmoja unaitwa “kwa kichwa”

Natamani kuanza biashara na kichwan kwangu kumekuja na idea ya stationery. Nimekuja kwenu kujua na kufaham zaidi kuhusiana na hili jambo

Natamani kujua mambo ya kuzingatia, tricks za kufaulu, mambo gani ya ziada kufanya, capital, machimbo ya suppers wazuri, wateja na kuhusu tenda mbalimbali, na tricks za price ili kupata wateja na profit pia

Nipo tayari kujifunza kutoka kwenu wakuu wangu
 
Back
Top Bottom