Maeneo ya karibu na vyuo hivi huwa inalipa japo utakuta competition kubw
ππππSamahani naomba ntajie vyuo na maeneo vilipo
Ndugu yangu hiyo biashara utaweza kuifanya kweli kwa uvivu huo ulionao.Samahani naomba ntajie vyuo na maeneo vilipo
Mtajie sasa ahahahahππππ
Mtajie hizo office za kata na halmashauri π€π€π€πππππJirani na office za kata,halmashauri,jiji au manispaaa.
Huyu ππππkama hawezi kujiongeza atajua mwenyewe.Mtajie hizo office za kata na halmashauri π€π€π€πππππ
Kwa dar es salqam maeneo gani?Jirani na office za kata,halmashauri,jiji au manispaaa.
Umempa mawazo nusu sasaHuyu ππππkama hawezi kujiongeza atajua mwenyewe.
Mambo ya kuzingatia sina uzoefu nayoHabari za leo wanajamvi,
Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza
Karibu na ahsanteni
Kama ni mvivu haujasoma huu uzi, Biashara hii hautaiwezaBiashara ya stationery nataka mawazo yenu
Very useful.....mkuu shukrani sana.Anza na ulichonacho usikate tamaa