richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,023
- Thread starter
-
- #21
Kwa haraka haraka ni kama 2M.Ndugu ulitumia mtaji wa shilling ngapi kufungua hiyo stationary?
Usikate tamaa,unaweza kwa kuanza kununua kidogokidogo.Nipo napambana niwe na stationery yangu ila changamoto mtaji. Nilitegemea sensa itanibeba ila nikakosa. Bado napambana kuzichanga changa[emoji119]
Hakika mkuuNaipenda hii biashara... Kuna kipindi niliwahi kutamani kuajiriwa na mtu yeyote niifanye kazi hii kwa mapenzi yangu kutoka moyoni ila nikakosa, leo hii imekuja ila muda ndio umekosekana [emoji26]... Utampata tu mtu mwaminifu
Location ndio muhimu kuliko huu ushauri unataka hapa.Habari wakuu
Mimi ni kijana.
Nataka kufungua stationery niweke na kazi za graphics design ndani yake. Naombeni Ushaurii Cha kuongeza au mwenye uzoefu na hii biashara na mpango wa kufanyia Dar es salaam. Japo fremu Bado sijapata
Asante Kwa ushauriLocation ndio muhimu kuliko huu ushauri unataka hapa.
Mfano ukiwa karibu na mahakama unatakiwa sample zote za legal documents uwe nazo umezisevu kwenye computer zako, ukiwa na Wakili kanjanja wako unaongeza tangazo la legal consultant.
Fanya hivi | Fungua google kisha andika site:jamiiforums.com "biashara ya Stationery"wataalam wa hii biashara tupeni experience ,, faida na hasara zake na vitu muhimi vya kuzingatia
Pata karibu na shule, kituo cha polisi, ofisi za serikali ama chuo ndio utaona faidaNaomba mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuuza vifaa vya shule na maofisin.
1. Naomba kujua faida ya hii biashara, changamoto zake
2. Bidhaa gan ni muhimu zaid kuwa nazo dukan
3. Machimbo ninayoweza pata bidhaa hizo kwa bei rahis ya jumla kwa dar
Pata karibu na shule, kituo cha polisi, ofisi za serikali ama chuo ndio utaona faida
Vipi kuhusu miezi 6 ya mwanzo ni kweli unakua huuzi chochote?Usikate tamaa,unaweza kwa kuanza kununua kidogokidogo.