Biashara ya Stationery

Biashara ya Stationery

Naipenda hii biashara... Kuna kipindi niliwahi kutamani kuajiriwa na mtu yeyote niifanye kazi hii kwa mapenzi yangu kutoka moyoni ila nikakosa, leo hii imekuja ila muda ndio umekosekana [emoji26]... Utampata tu mtu mwaminifu
 
Hakika mkuu
 
Habari wakuu

Mimi ni kijana.

Nataka kufungua stationery niweke na kazi za graphics design ndani yake. Naombeni Ushaurii Cha kuongeza au mwenye uzoefu na hii biashara na mpango wa kufanyia Dar es salaam. Japo fremu Bado sijapata
 
Location ndio muhimu kuliko huu ushauri unataka hapa.

Mfano ukiwa karibu na mahakama unatakiwa sample zote za legal documents uwe nazo umezisevu kwenye computer zako, ukiwa na Wakili kanjanja wako unaongeza tangazo la legal consultant.
 
Asante Kwa ushauri
 
wataalam wa hii biashara tupeni experience ,, faida na hasara zake na vitu muhimi vya kuzingatia
 
Fanya hivi | Fungua google kisha andika site:jamiiforums.com "biashara ya Stationery"

Matokeo ni haya
1665568239308.png

=
Tumia muda kupitia hizo thread.
- Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji
 
Naomba mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuuza vifaa vya shule na maofisin.
1. Naomba kujua faida ya hii biashara, changamoto zake
2. Bidhaa gan ni muhimu zaid kuwa nazo dukan
3. Machimbo ninayoweza pata bidhaa hizo kwa bei rahis ya jumla kwa dar
 
Pata karibu na shule, kituo cha polisi, ofisi za serikali ama chuo ndio utaona faida
 
Back
Top Bottom