Kama mada inavyojieleza,,,naomba kufahamishwa kwa wazoefu na wanaofanya hii biashara,,ni maeneo gani kwa Dar naweza kupata bidhaa kama ream paers,peni na couterbook kwa bei ya jumla.
Mpaka sasa nimejaribu kuwaulizia wadau waliopo huko bei ninazopewa kwa maduka mengi zipo juu kuliko za huku mikoani kiasi kwamba nikichukua mzigo Mbinga naweza kuja kuuza Dar nikapata faida kidogo kuliko kuchukua Dar kuja kuuza Mbinga.