Biashara ya statoionery

Biashara ya statoionery

mkoha

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
62
Reaction score
53
Kama mada inavyojieleza,,,naomba kufahamishwa kwa wazoefu na wanaofanya hii biashara,,ni maeneo gani kwa Dar naweza kupata bidhaa kama ream paers,peni na couterbook kwa bei ya jumla.

Mpaka sasa nimejaribu kuwaulizia wadau waliopo huko bei ninazopewa kwa maduka mengi zipo juu kuliko za huku mikoani kiasi kwamba nikichukua mzigo Mbinga naweza kuja kuuza Dar nikapata faida kidogo kuliko kuchukua Dar kuja kuuza Mbinga.
 
kariakoo maduka hayo yapo mengii,bei ni za kawaida kabisa.ukifika stend ya gerezani kuna barabara inakatiza upande wa kulia kuingia kariakoo ndani, ukienda hatua chache mbele utayaona maduka hayo ya jumla
 
Back
Top Bottom