Biashara ya Sungura imejaa utapeli wa hali ya juu sana

Biashara ya Sungura imejaa utapeli wa hali ya juu sana

Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Ni ujuha kupigwa kirahisi namna hiyo! Hivi utaambiwaje ufuge kitu ambacho hujui soko lake wala hujawahi kusikia soko lake hata siku moja? Mtanzania anaanguka kwa kukosa maarifa na kupenda mteremko.

Sasa kama sungura wana soko nchi za Ulaya wafugaji wake watashindwaje kuwafuga? Mbona wanafuga kuku, ngombe, nguruwe etc tena kwa wingi na bei zake ni rahisi kuliko hata huku kwetu?
Sungura huptikna ulaya Zaid kulko bara jingne
 
Jamaa yangu aliuziwa sungura sita wa mbegu kwa jumla ya shilingi milioni moja na laki nane (1,800,000). Ni kama sungura mmoja ni shilingi laki tatu (300,000).
Aiseee ni kwel haya mambo usipotumia Muda kidgo utapigwa badae uanze kujua
Kuna watu wanajiita SAORE co watu wazuri kabsa matapeli tu na serikali inawacheki
Wanakuja kukushawishi vizur ukijua ushatoka kimaisha utakavyokuja kupigwa hutoamin
Kama **** mwanainch anataman afuge sungura tafuta anayefuga nununua na sungura Hazid 20,000 kwa bei tofaut na sehem
 
Kinadharia ufugaji wa sungura kibiashara ni jambo lenye kuleta matumaini sana, lakini kiuhalisia ni biashara yenye utata mkubwa sana kwa hapa kwetu Tanzania.

Makampuni mengi yanayohamasisha ufugaji wa Sungura ni kama yale makampuni ya uuzaji bidhaa kimnyororo (Supply Chain companies) ambako faida inapatikana kwa kuongeza washiriki kwenye biashara husika.

Unapoingia kwenye ufugaji wa kibiashara wa sungura, Makampuni mengi yaliyoko hukuuzia sungura wa kuanzishia mradi, kukujengea banda, kukuuzia chakula cha sungura mengineyo utajijua mwenyewe, kwani ahadi nyingi za kutafutiwa soko la sungura huwa ni Uongo wa kupindukia ulipangiliwa kiakili sana

Nadhani wale wanaotaka kufuga sungura kibiashara wajaribu wenyewe kwanza kutengeneza soko la nyama ya sungura kabla ya kufuga sungura hao kwa wingi.

------------------

Soma maoni ya mdau juu ya jambo hili

Si kwamba ufugaji wa Sungura ni utapeli, no ni uwezo wetu wa kuwaza umeisha
Hiv chakula special cha sungura nini na kinapatikana wapi
 
Binafsi nimfugaji wa sungura toka 2013 hadi leo mim nafuga tu kwa 7bu.

Nawapenda kuwaona kula pia uwa nauza mim nafuga tu kienyeji ila wananikomboa vitu vidogodogo cja waikupata changamoto kihivyo eti soko hakuna mala njoo semina mim nilienda polini nikawinda hadi leo hii mim ninao na nauza bilashaka sas cjajua tatizo nin wanazengwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawapa nini
 
Back
Top Bottom