Biashara ya tende Misuli na Makobazi

Biashara ya tende Misuli na Makobazi

Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Kwenye mijadala ya mashariki ya kati hakikisha unaweka ulinzi kwa israel..
Pia mijadala ambayo haipaswi kukosa yesu ni Mungu au sio Mungu
 
Back
Top Bottom