Biashara ya Tigopesa inanifilisi

Biashara ya Tigopesa inanifilisi

Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.

Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.

Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.

Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?

Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Kiuhalisia ni vigumu kushauri pasipo kujua "chanzo cha tatizo" hiyo hasara imetokana na nini? Unakosea ktk kufanya miamala, makato yasiyo ya lazima? Gharama za uenseshaji? Unakosea ktk kurudisha chenji/kupokea ama ni nini? Nadhani tuanzie hapo, mind you, hakuna biashara isiyo na changamoto hata siku 1 japokuwa ukubwa wa changamoto hutofautiana!
 
Mkuu hiyo biashara inahitaji umakinii mkubwa. Wewe uliumizwa sababu hukuwa na uzoefu nayo. Na huyo uliye muweka naye hana uzoefu nayo. Cha muhimu ni kumwambia aongeze umakini zaidi. Kumbuka kwenye hii biashara ukikosea ukatuma 20000/= badala ya 2000/= ni hasara tayari. Sasa akikosea miamala kama hiyo mitatu kwa siku ? Kikubwa ni umakini Mkuu. Na kwa kuwa ni mgeni kama umeweka hela nyingi ipunguze kwanza mpaka atakapo pata uzoefu kidogo ndio uongezee. Ni ushauri tu lakini.
SOLUTION...
Hakuna cha ushirikina wala tungili, sana sana ni kama unampa hela bure, heri uwape watoto barabarani au yatima..
Umakini, sana sana...siyo mambo ya utani wakati wa kupokea au kutuma hela, wateja wana kawaida ya kukuzinguwa wakati huo, achana na distractions waambie kabisa, uko ofisi na unafanya jambo muhimu..
 
Muajiri mdada ni waoga kupiga pesa kwanza ye haongi, haweki vocha nk
 
Biashara ya fedha ni ngumu kiasi hasa mwanzoni lakini baada ya muda ukitulia vizuri hupotezi fedha kirahisi na utaifurahia mno tatizo ni pale utakapokuwa umekosa umakini kwa mfano

1 wanakuja wateja wengi kwa wakati mmoja unajidai kuwahudumia wote kwa pupa lazima upoteze hela tu kama ukikuta wengine ni wajanja na wana tabia ya kuiba maana watakuchanganya na lazima uingie mkenge kwa hivyo epuka kukimbizwa na wateja wako yaani fuata taratibu za kifedha yaani utulivu ili umhudumie kila mtu kwa utaratibu unaofaa nawe hutoiona hasara labda upate hasara ya sh 1,10 na ikizidi 500 kwa mwezi.

2 Epuka sana kuwapatia watu wengine biashara hii hadi uwe na uhakika kuwa no way watakuangusha, lakini mara nyingi hakikisha ni mkeo au wewe mwenyewe hapo mtafanikiwa kwa kuwa biashara ya fedha ina ushawishi mkubwa mno wa mtu kudokoa, imagine mtu anaishi mtaani anafukuzwa kodi unadhani atakubali kufukuzwa kizembe si heri alipe then anakwambia imepotea na kwa kuwa nawe ulipoteza si utaunga mkono tu? Ndiyo maana unashauriwa uwe wewe mwenyewe au la mkeo au ndugu yako wa karibu mno.

3 Mtu yeyote haruhusiwi kuingia katika jengo la biashara hii yaani usijaribu kumwamini mtu katika biashara hii cos mahesabu yake mara nyingi ni jioni sasa ukijisahau mtu yeyote anaweza kuchukua pesa afu ukipiga hesabu jioni huzioni na ukikumbuka unajikuta huamini kama rafiki yako ndiye aweza kukuibia kumbe ndiye. So usiruhusu kabisa mwongiliano wa kimaeneo eneo la kazi na usikubali mtu wa nje kujua taarifa zako za siri za Tigo Pesa, au M pesa na Airtel money.

4 FANYA KAZI KWA MKATABA
Vijana wengi unawaajiri lakini hawapo makini na kazi na matokeo yake ni loss kama hizo lakini ukimpa mkataba akaweka wadhamini wake wa kuaminika nakuambia kabisa hutapata loss za hivyo na hata akipata loss itakuwa ni juu yake wala si kwako. Maana loss huja kutokana na uzembe wala si chuma ulete. Kwa hivyo chini ya mkataba mtu atajua hii ni kazi na lazima niifanye kwa moyo wote maana anajua jela i mlangoni akileta mchezo na au atawatia matatani wadhamini wake.Hivyo hata awe ndugu kama humwelewi mwelewi mpige mkataba kama hataki achana nae maana mtu anayekubali mkataba maana yake atafanya kazi kwa mujibu wa mkataba wake na hivyo anakuwa amekubali kuwajibika inapotokea hasara kama hizo. Bila mkataba utaondoka barabarani labda pona yako uwapate waaminifu by nature ndo utapona.

Baada ya hayo nikushauri hivi

Watu wote wanaofanya biashara hii wamewahi kupata loss lakini walio makini loss yao haifiki hata 2/10 ya faida wanayoipata kwa mwezi, kwa mfano mtu kapata loss ya sh 500 kwa mwezi au 1000 afu kaingiza 500000 ataachaje biashara hii? Au labda umepata loss ya sh 20 elfu ila umepata faida laki 5 kazi ni kuboresha umakini ili ile ishirini irudi yenyewe na kuingia kwenye faida yako kuliko iwe loss once more kwa hivyo nakushauri usikate tamaa kabisa ongeza umakini tu nawe utafanikiwa.

Lakini kwa ushauri zaidi nitafute kwa namba 0625911797 endapo una halotel weka namba yako nikupigie nikushauri zaidi
 
Ni kawaida biashara hii kwa muhudumu mgeni kuibiwa au kupata loss. Mpe muda ila mchunguze
 
Nakushukuru na nimekuelewa vzr mkuu
 
Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.

Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.

Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.

Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?

Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Mkuuu niuzie mm banda na laini
 
Kumbe usimlaumu mwajiriwa wako maana hata wewe ni mtu wa hasara tu
 
Funga fasta ukanunue mpunga mkuu
 
Mkuuu niuzie mm banda na laini
Daaah, mkuu hata hujajua jamaa yuko wapi, na kama banda linabebeka au halibebeki, ila wewe unataka banda...!!!!

Mshauri tu jinsi ww utakavyokabiliana na changamoto, aelewe na aendelee na biashara ili mwenzako nae ATOBOE.
 
Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.

Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.

Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.

Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?

Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Kuna siku nilikua natoa 9,500/= mahali but nikapewa 95,000/=.
One day nikienda hilo eneo nitarudisha tu hiyo hela,
E Mungu nijaalie, ameeen
 
Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.

Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.

Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.

Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?

Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Kama kuna biashara zenye risk kubwa na faida kidogo ni hizo... Halafu hatuwaajiri wajuzi bali watafuta ajira huku wengine wakiwa pengine hata kwenye elimu zao walifeli somo la hesabu...
Hiyo miamala yenyewe kwenye makampuni husika kuna wafanyakazi sio waaminifu... Wanacheza na miamala yako mpaka wanakupiga
Ukikuta mtu anafanya hii biashara na hajapata loss hata moja jua
. kwanza ni mwajiriwa wa mojawapo ya hiyo mitandao au
. Ana ndugu ama rafiki huko au
. Ameajiri watu wajuzi makini na waaminifu
 
asa ukihama hama ivyo utakuja jifunza lin makosa bosi? Hakuna pasipo na changamoto ukianza lazma ule za uso kukuweka akili sawa, hata waganga na wachawi hupata changamoto kama hzo, umempga mtu juju afe unajua umemaliza kaz baadala yake jini ulilotuma ndo limekufa yeye unamuona anadunda mtaan tena kaulamba mkanda nje, lazma uumie ila hukat tamaa unatuma la congo
 
Kama kuna biashara zenye risk kubwa na faida kidogo ni hizo... Halafu hatuwaajiri wajuzi bali watafuta ajira huku wengine wakiwa pengine hata kwenye elimu zao walifeli somo la hesabu...
Hiyo miamala yenyewe kwenye makampuni husika kuna wafanyakazi sio waaminifu... Wanacheza na miamala yako mpaka wanakupiga
Ukikuta mtu anafanya hii biashara na hajapata loss hata moja jua
. kwanza ni mwajiriwa wa mojawapo ya hiyo mitandao au
. Ana ndugu ama rafiki huko au
. Ameajiri watu wajuzi makini na waaminifu
1.Nakubaliana na ww hii ni biashara yenye risk kuubwa.
2.Biashara hii inaweza kua na faida kubwa au ndogo kulingana na eneo ulilopo,idadi ya miamala na mtaji wako.(Hii ni biashara ya commision,the more u transcat the more u r commisioned)
3.Sio kweli ili usipate hasara lazima uwe mtu wa kwenye kampuni ya simu au uwe na ndugu kwenye kampuni.(nikuhakikishie kuna watu kwenye makampuni ya simu hawajui lolote kuhusu biashara hiyo zaidi ya kuweka na kutoa)
4.Hii biashara inahitaji umakini,ujuzi wa kufundishwa,uaminifu, uvumilivu na nidhamu ya pesa....waajiriwa wengi wanakosa ustahimilivu kwa kujikopa kopa kisa tu wanaona hela in cash.
5.Hasara ni sehemu ya biashara yeyote duniani......Elon Musk na tesla yake wanapata hasara ijekua wakala wa tigo pesa[emoji12] .Na biashara sio maziwa ukichemsha kidogo tu yanafoka....biashara inahitaji uvumilivu,ikomae na iwakomaze wahusika pia kwa kujua changamoto na namna ya kuzipangua.
Nihitimishe tu kwa kukushauri kua biashara na hasara ni part n parcel cha msingi ni kuhakikisha hasara iwe affordable n temporal.
Gooooooodnyyyyt
 
Changmoto kubwa ya tigo pesa sio wizi sana mana mambazi huweza kutokea mara moja kwa mwaka but CHUMA ULETE ndio daily kama upo serious nicheki pm ukiwa na maelezo ya location, kiasi cha mtaji, nitakuambia cha kufanya bure kabisa mana hata mm nilikuwa napoteza zaidi ya lak3 kwa siku b4
 
Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.

Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.

Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.

Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?

Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Nilipata kumsikiliza tajiri wa kichina alieanza biashara kwa changamoto nyingi lkn sasa ni tajiri mkubwa! Anasema ukiona unapata changamoto za ugumu wa biashara usiiache hiyo biashara, we zigeuze changamoto kuwa fursa! Nami nakushauri komaa hapo hapo pambana na changamoto.
 
Back
Top Bottom