Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

Biashara ya Tofali: Mafanikio na Changamoto zake.

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
720
Reaction score
644
Wakuu amani iwe nanyi!

Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.

Karibuni sana Wakubwa.
 
Hiyo ni biashara ambayo primarily utaiendesha kwenye maeneo yanayoanza kujengwa jengwa yani kando ya miji. Kwa sasa uende kuianzisha Chanika, Kisemvule, Bunju, bagamoyo, kibaha au mwasonga huko.

Mengine ungegugo mana ishawah kuongelewa humu. Mafundi wanalipwa elf 5 kila mfuko moja

Mkuu endelea kutiririka ili na sisi wengine tujifunze zaidi.
 
Kuna ndugu yangu anafanya hii biashara nilimuuliza maswali kadhaa na haya ndio majibu yake

Hii ni biashara inayohitaji uwe na hela siku zote yaani ni capital intensive maana unahitaji kuwa na cement, mchanga, hela ya umeme na hela ya kuwalipa staff wako kila siku. Kikikosekana kimojawapo hapo juu kazi haifanyiki.

Changamoto kubwa ni kuwepo na vijiwe vingi vya kufyatua matofali hivyo kupelekea bei kushuka kila mara

Faida ya kila tofali kwa wastani ni kati ya sh 150 hadi 200 so ili uone natunda ya hii biashara atleast uuze kuanzia tofali elfu kumi kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom