Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.
Karibuni sana Wakubwa.
Mkuu endelea kutiririka ili na sisi wengine tujifunze zaidi.Hiyo ni biashara ambayo primarily utaiendesha kwenye maeneo yanayoanza kujengwa jengwa yani kando ya miji. Kwa sasa uende kuianzisha Chanika, Kisemvule, Bunju, bagamoyo, kibaha au mwasonga huko.
Mengine ungegugo mana ishawah kuongelewa humu. Mafundi wanalipwa elf 5 kila mfuko moja
Siifaham mkuu sijawah kufanya ila ilishajadiliwa hiiMkuu endelea kutiririka ili na sisi wengine tujifunze zaidi.