Kutokana na suala la elimu bure na inaonekana kqbisa kwamba elimu yetu hasa kwa shule za serikali itakuwa chini hivyo wanafunzi watahitaji masomo ya ziada kwa kasi ya ajabu ili kujiinua darasani.
Hivyo kama nyinyi ni walimu, mnaweza mkajiunga na kutafuta eneo ambalo mnaweza mkafungua kituo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo kwa maana ya kusaidia jamii na kujipatia kipato cha ziada.
Mimi tayari nimetoka kulipia leo kesho natafuta fundi kwa ajili ya madawati na kutengeneza mbao za kuandikia.
Jaribuni walimu wenzangu.
Lets say sisi ni walimu, tupo watatu ni kama kiasi gani cha pesa kinaweza kikakidhi?Serious, hata kama siyo mwalimu unaweza wewe ukaratibu na ukaajiri walimu kufanya kazi hiyo. Must be walimu wenye weredi.
Napita
JIPE MOYO TU:
kwa sasa elimu imeshuka sana, wazazi hawana mwamko wa elimu, wanafunzi ndo wamekata tamaa, walimu ndo usiseme,
TUISHE ILIKUWA MIAKA KUMI ILOPITA WANAFUNZI WALIKUWA WANAKIMBILIA WENYEWE
=> KWA SASA ANZISHA TUITION YA BURE HAWAJI HAWATAKI KABISA
=> HAPA MKURANGA KUNA TAASISI YA KIISILAM IMEANZISHA TUITION BUREEEEE CHA KUSIKITISHA WANAFUNZI HAKUNA ANAYEENDA

Haaaa! We unazungumzia mkoa wa pwani!!! Ongelea sehemu ambazo watu wanatamani shule, sasa mkuu unazungumzia wazaramo hao na shule wapi na wapi?JIPE MOYO TU:
kwa sasa elimu imeshuka sana, wazazi hawana mwamko wa elimu, wanafunzi ndo wamekata tamaa, walimu ndo usiseme,
TUISHE ILIKUWA MIAKA KUMI ILOPITA WANAFUNZI WALIKUWA WANAKIMBILIA WENYEWE
=> KWA SASA ANZISHA TUITION YA BURE HAWAJI HAWATAKI KABISA
=> HAPA MKURANGA KUNA TAASISI YA KIISILAM IMEANZISHA TUITION BUREEEEE CHA KUSIKITISHA WANAFUNZI HAKUNA ANAYEENDA
Lets say sisi ni walimu, tupo watatu ni kama kiasi gani cha pesa kinaweza kikakidhi?
Mkuu mkoa wa Pwani hauna muamko kielimu acha mtoa mada ajaribu aliko huenda kuna fursaJIPE MOYO TU:
kwa sasa elimu imeshuka sana, wazazi hawana mwamko wa elimu, wanafunzi ndo wamekata tamaa, walimu ndo usiseme,
TUISHE ILIKUWA MIAKA KUMI ILOPITA WANAFUNZI WALIKUWA WANAKIMBILIA WENYEWE
=> KWA SASA ANZISHA TUITION YA BURE HAWAJI HAWATAKI KABISA
=> HAPA MKURANGA KUNA TAASISI YA KIISILAM IMEANZISHA TUITION BUREEEEE CHA KUSIKITISHA WANAFUNZI HAKUNA ANAYEENDA
Kutokana na suala la elimu bure na inaonekana kqbisa kwamba elimu yetu hasa kwa shule za serikali itakuwa chini hivyo wanafunzi watahitaji masomo ya ziada kwa kasi ya ajabu ili kujiinua darasani.
Hivyo kama nyinyi ni walimu, mnaweza mkajiunga na kutafuta eneo ambalo mnaweza mkafungua kituo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo kwa maana ya kusaidia jamii na kujipatia kipato cha ziada.
Mimi tayari nimetoka kulipia leo kesho natafuta fundi kwa ajili ya madawati na kutengeneza mbao za kuandikia.
Jaribuni walimu wenzangu.
Hata kuchangia hutaki mkuu!!?
nalipa mia...kwa kuliona hiloo