NYINGWA
Member
- Nov 29, 2015
- 55
- 27
Kutokana na suala la elimu bure na inaonekana kqbisa kwamba elimu yetu hasa kwa shule za serikali itakuwa chini hivyo wanafunzi watahitaji masomo ya ziada kwa kasi ya ajabu ili kujiinua darasani.
Hivyo kama nyinyi ni walimu, mnaweza mkajiunga na kutafuta eneo ambalo mnaweza mkafungua kituo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo kwa maana ya kusaidia jamii na kujipatia kipato cha ziada.
Mimi tayari nimetoka kulipia leo kesho natafuta fundi kwa ajili ya madawati na kutengeneza mbao za kuandikia.
Jaribuni walimu wenzangu.