MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
huku mtaani kwetu watu wananong,ona kuwa marehemu Kanumba ametolewa kafara ya ki free masons na safari zake za marekani zinahusishwa na huko eti amekosea masharti, je inaweza kuwa kweli mkuu maji moto?
Nafasi ya mafanikio aliyofikia alifikiri anaweza kusimama peke yake, Upande wa Mungu alikuwa dhaifu sana, upande wa shetani alikuwa juu, ndiyo maana usiku wa manane alikuwa na kabinti cha miaka 17, kama alitembea nacho ni sawasawa na kosa la kubaka, na ni kosa lenye adhabu kwa sheria za Tanzania, mbaya zaidi uhusiano wake na mzazi wake wa kiume ulikuwa siyo mzuri.
Hizi ni sababu tosha kwa wabaya wake kumchukua kimazingara na kuanza kumtumia yeye na nyota yake kuendeleza vipaji vyao.