Biashara ya Uchawi Tanzania

Eti diamond na Ali nani analoga zaidi ila wote ni wakigoma.
 
Kuhusu Mbeya umekosea. Mbeya ni mkoa unaoongoza kwa makanisa. Kama vile ilivyo Sinza ambapo kila mtaa kuna kigrosari, basi Mbeya kila mtaa kuna kanisa. Kuna makanisa mpaka ya kifamilia wanasali baba, mama, watoto na majirani.
 
Ndo wachawi hao balaa, dini zinatumika kama cover
 
Wasiojulikana wamenifanyia hii kitu yani sina Amani kabisa muda wote na hofu pia najitenga na watu.

UCHAWI WA KUMFANYA MTU KUWA NA HOFU MARA KWA MARA NA MTU KUPENDA KUJITENGA PEKE YAKE.
 
Majimoto uko wapi?

Umepotea sana, rudi Bwana.
 
Wasiojulikana wamenifanyia hii kitu yani sina Amani kabisa muda wote na hofu pia najitenga na watu.

UCHAWI WA KUMFANYA MTU KUWA NA HOFU MARA KWA MARA NA MTU KUPENDA KUJITENGA PEKE YAKE.
Pole sana hilo ni tatizo kibwa sana
 
Mkuu hiyo namba nne kuna siri gani hapo? Mbona viongozi sijawaona hapo maana nasikia nao ni wateja wakubwa wa uchawi.
VIPI UMESAHAU Wanasiasa
 
Kuhusu Mbeya umekosea. Mbeya ni mkoa unaoongoza kwa makanisa. Kama vile ilivyo Sinza ambapo kila mtaa kuna kigrosari, basi Mbeya kila mtaa kuna kanisa. Kuna makanisa mpaka ya kifamilia wanasali baba, mama, watoto na majirani.
Huijui mbeya vizur mm ndio naishi huku nakujua vizur mbeya yote imejaa mambo ya ajabu sana huwez amn. Kila biashara ni madawa tu.
 
Wanaopinga uchawi wapite hapa pia wasome
Hao hawahawahi kukutana nao au kutembea mm nilienda kijiji kimoja nimekisahau jina karibu na mgololo MUFINDI - Iringa aisee sijawahi kuona kijiji chenye wachawi kama kile daah ata watumish kama walimu wanaofundisha pale wana moyo.
Usiku ikianza saa 5 usiku ukitoka nje angani ni mashindano tu vitu kama vimondo tu ndio vinapishana mpaka saa 9 ndio kunatulia.
Ukikaa vizur na wazee ukawauliza wanakwambia watu wanajaribu mitambo ya usafiri daaaah Hii Dunia iache tu.
 
Sawala, mtwango au mninga
 
Na wana JamiiForums kwa ujumla wao
 
Mh
 
[emoji1787][emoji28][emoji23]
 
Hivi kuna jamii ina abudu uchawi kwenye hili taifa kama jamii ya wasukuma..? Na kanda ya ziwa kwa ujumla..? Vipi kule sumbawanga. Vipi maiaji ya vikongwe pale shinyanga..? Vipi mauaji ya albino umeyasikia Tanga, kilimanjaro..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…