Biashara ya Uchawi Tanzania


Kumbe ndio huwa wanaturoga namna hiyo.......kweli inabidi kumrudia Mungu.
 


Hii sread imenivutia sana kuisoma lakini wala hata siogopi hao wachawi na waje
Hakuna nguvu inayoweza kulishinda jina la yesu kwa kuomba na kuamini..
Zaburi 23 ...ni mlinzi wa maisha yangu na familia yangu
hawa wachawi watabaki wanacheza makirikiri tu:wink2:
 

I had an experience once when my spirit confirmed to me the person whom I had contract with na akataka kunirusha na kushindwa siku ananipa hizo pesa zangu basi hazikuwa salama...something was telling me that its not all well..Then ikawa kama nawaza vile kwamba I am protected but my drivers who worked for the contract were not safe..So nika enda nakuwaeleza of course kama you are a non believer si rahisi uamini and one of my driver told me usijali mimi hawezi kunifanya jambo lolote. Atfter a less than a week the same driver akaanza kuugua akalazwa hospitali...things turned to be very bad kabla hajatoka mkewe akalazwa na baadaye mtoto wake mdogo..then hatuja kaa vizuri the other driver things were not going through yeye sikuile ninawaambia aliniangalia tu lakini nikamsoma kanielewa but anajua atakacho fanya siyo vile mm na mwambia..baada ya mwezi akaacha kazi naona akaona mmh mambo si mambo kwa shetani hayuko sawa sawa na kwa Mungu hataki kuja....

Some how I have learnt on some of the things unazoeleza hapa..I realy know what you are talking about; Lakini uchawi ni power ya chini kabisa kwenye Kingdom of darkness, marine waters ndo wanaongoza ila wanapokutana na moto wa roho mtakatifu ambao ni utakaso kwa watakatifu na ni moto ulao kwa waovu basi ni kama kumuua nzi kipande cha gazeti tu chini....dada mmoja alikuwa mchawi and was shown into spirit siku ile nimemfuata kabla sijaongea akaanza kupiga kelele na kuniambia yote anayojua kuhusu uchawi; it was my first experience kumsikia mchawi live niliona kama vile naota vile everybody was surprised...From then nikaamini kumbe ni kweli uchawi upo, I used to doubt very much about the existence of it. One year later niko ulaya ndani ya train mbele yangu alikwepo binti so akanigeukia kwa hasira kwanini unanipulizia pumzi ya moto nikawa na shangaa imagine nchi ya watu mzungu anakupigia kelele, nikadhani ni racist mara akafungua mlango wa train (zile kama daladala) bado ilikua haijaondoka kilichofuata duuh akavua nguo hadharani hapo hapo akaanguka chini akajikojolea maskini and the lady was in her days it was a disaster na mm kumwendea na ogopa nisije funguliwa mashitaka, mara akapata fahamu akaja akaniambia what powers do you have nikamwambia holly spirit...akaondoka bila kuaga mtu...Kila mtu akabaki ananishangaa kama sinema vile na mimi nikabaki kimya kama siyo mm vile; it was realy a bad experience for me lakini nika comfirm kumbe siyo wote waliobarabarani ni wema....
 
Ndo mana hata huyo presder wao sisemi (KIWETE) ana jini aitwaye marope kaz yake kubwa ni kusimamia uchakachuaji wa kura.
 
ni kweli?then naanza kuplan kumrejea mungu kisirias zaidi kwa ushuhuda huu
 
Majini ndio mtaji mkubwa wa wachawi/waganga wa kienyeji katika kutimiza kazi zao za kishetani.

Majini yanakuwa ndani ya mwili wa wachawi, pia wachawi wanaweza kufuga majini yao ndani ya mwili wa mtu mwingine bila mtu huyo kujijua, vipo viashiria vya wazi kabisa vinavyoonyesha kuwa ndugu/mtoto/rafiki/mke/mume wamegeuzwa banda la kufungia majini.

Kiumbe chochote chenye uhai, ili kipate kuishi ni lazima kipate chakula na maji, vinginevyo uhai wa hicho kiumbe huwa katika matatizo na hakiwezi kuishi. Wachawi wa nchi wakikufanya banda la kufugia majini, hulazimika kutafuta chakula cha kuwalishia majini yao kila siku.

Chakula cha majini mara nyingi ni nyama za wanadamu na kinywaji chao ni damu za wanadamu, kawaida wachawi wote huwa wanamiliki misukule, misukule muda wao wa kuishi ukifika hufariki dunia, huko msukuleni hazikwi mtu, bali nyama yao ndiyo hutumika kulishia misukule walio hai na kulishia majini yao.

Kama wachawi wamekufanya banda la kufugia majini yao, usiku huja nyumbani kwako na nyama za watu pamoja na damu, na unalishwa nyama hiyo kichawi bila wewe kutambua. Kama unashirikiana chumba kama mke na mume na ikifika usiku huwa unasikia mume/mke anatafuna chakula kwa muda mrefu, na kitendo hicho kinajirudia mara kwa mara, ujue kuwa mwenzako analishwa chakula cha kichawi na wachawi. Ukiwasha taa huwezi kuwaona wala hicho chakula hutakiona, isipokuwa asubuhi, huyo mtu aliyelishwa chakula usiku anakuwa ameshiba kabisa na hawezi kula kifungua kinywa cha asubuhi, na mdomoni atasikia harufu ya nyama.

Madhara yake baada ya muda ni mabaya sana, kwani haya majini husababisha mtu kupooza mwili mzima au upande wa mwili. Fanya uchunguzi kwa watu 50 waliopooza, utakuta watu 30 walikuwa wanatafuna vitu wasivyovijua usiku.
 
vipi kuhusu bei ya majini?ni kweli yanauzwa?

Majini hayauzwi, isipokuwa unapoingia kwenye taaluma hii ya uchawi, ukimaliza mafunzo unapewa majini kama zana za kufanyia kazi, kumbuka kuwa kuna aina nyingi sana za majini na uwezo wao hutofautina sana. Kadri unavyomiliki majini ya kila fani ndivyo unavyokuwa maarufu katika fani hii ya ulozi.
 
Duh inaonekana wewe ni muhusika mkubwa ndio maana umeleta maada hii ongera
 

ok,majimoto!kijana anapobaleghe huota njoz za mapenz na kumalza haja zake,the same to girls,kwani hayo ni mabadiliko ya kibaiolojia,inakuaje wengne wananasibisha na MAJINIMAHABA?
 
ok,majimoto!kijana anapobaleghe huota njoz za mapenz na kumalza haja zake,the same to girls,kwani hayo ni mabadiliko ya kibaiolojia,inakuaje wengne wananasibisha na MAJINIMAHABA?

Mkuu Bajabiri, Kuna watu kwa tabia zao wanayakaribisha haya majini bila wao kufahamu, wanawake wanaolala usiku wakiwa uchi wa nyama bila kuvaa chochote, huwa ni kivutio cha haya majini, kumbuka kuwa jini ni roho isiyoonekana na inayoweza kuingia mahali popote, wanapoingia chumbani kwa watoto wakati ndiyo wanabalehe, maungo yao yanavutia na kupendeza sana, hivyo haya majini huwaingia hawa wasichana na kuwafanya wake zao. Haya yakishamwingia mtoto wa kike uwezekano wa kuolewa huwa haupo, kwani yana wivu sana anapotokea kijana na barua ya posa, yanamfanya yule msichana amkatae kila kijana atakayeingia katika nyumba ile.

Vijana wa kiume wanapatikana sana na majini haya wakiogelea baharini na vichupi na kwa kiwango kikubwa majini haya hapo sana ukanda wa pwani.
 
Maji,kama watu wanachukuliwa misukule,wakiwa na wachawi hufa,so wakifa ni nani huwasitiri?au huliwa nyama?
 
A good testimony. I will keep pressing on to the end. JESUS help me.

 

Mkuu hiyo kwenye nyekundu naona ni mikoa yenye waislamu wengi zaidi. Je kuna uhusiano gani kati ya uislamu na uchawi?
 
Maji,kama watu wanachukuliwa misukule,wakiwa na wachawi hufa,so wakifa ni nani huwasitiri?au huliwa nyama?

Ndugu yangu usiombe uingie msukuleni, mateso ni makali kweli kweli, chakula chao ni pumba za nafaka, zinalowekwa kwenye maji na kulishwa misukule. Msukule anapokufa mwili wake hukatwakatwa vipande vipande, ndiyo siku misukule wanapokula nyama.

(Wapo wenye mashine za kukoboa na kusaga nafaka, wao siku zote hawauzi pumba, ukiwauliza wanasema soko la pumba nje ya nchi ni zuri kuliko la hapa nchini.Fanya uchunguzi kidogo utazigundua)
 
Mkuu hiyo kwenye nyekundu naona ni mikoa yenye waislamu wengi zaidi. Je kuna uhusiano gani kati ya uislamu na uchawi?

Asili ya uchawi na majini ya nchi za Kiafrika ni kutoka Arabuni, ndiyo maana utakuta majini mengi yana majina ya Kiarabu. Miji au vijiji walivyokaa Warabu ndivyo vinaongoza kwa uchawi na havina maendeleo. Lakini utashangaa pia kuwa mtu kama Osama Bin Laden ambaye ni Mwarabu amefundishwa uchawi na Mtanzania wa Kigoma.
 

osama alikuja kigoma au mwalim alimfuata huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…