Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Siamini chanzo chako sababu nashangaa sana WANASIASA umewaacha wakati wanaongoza
 
Hii Thread ilikuwa nzuri sijui kimetokea nini mpaka ikafika hapa ilipo.
 
Mkoa wa Kilimanjaro kwa mwenendo wanaokwenda nao sasa hivi baada ya miaka mitano wataondoka kwenye kundi la wateja wa wachawi na kuingia kwenye kundi la wachawi wakubwa nchini.

Ni kweli Kilimanjaro ni mkoa wenye mafanikio makubwa kielimu na kimapato, baada ya wakazi wengi wa mkoa huo kutaka kupata mafanikio bila mahangaiko wameingia kutafuta uchawi, walianza kutafuta uchawi maeneo ya wilaya ya Same na mkoani Tanga, uchawi wa kuimarisha biashara zao, sasa hivi wengi wapo Tanga na Sumbawanga wakifundishwa ulozi.

Wanaporudi nyumbani baada ya kufuzu mafunzo ya uchawi, huwa wanakuwa washamba kwelikweli, kwani huloga kila kitu, wakikuta mgomba haya twende, mpapai twende, wakikuta mifungo ndipo mahali hasa wanapojaribishia uchawi wao.

Mkoa wa Kilimanjaro sasa hivi ni moja ya mikoa inayogoza kwa utapiamlo nchini Tanzania, hawana muda tena wa kulisha familia zao kila centi inayopatikana inapelekwa kwenye mafunzo ya uchawi.

Kipo kijiji kimoja wilayani Same miaka kumi iliyopita nyumba zote zilikuwa za udongo na nyasi, sasa hivi ni moja ya vijiji vinavyoongoza kwa ujenzi wa nyumba bora za cement na bati, nilikutana na mkazi mmoja wa kijiji hicho akaniambia ukiingia kijijini hapo kila kaya kuna wachagga zaidi ya wawili wanafundishwa uchawi, wanasema kijiji kinakuwa na wageni wengi, baada ya mavuno ya mazao ya mahindi, ulezi na maharagwe, na msimu wa kuuza kahawa unapowadia.

kwa kweli kuna kaukwel apo mm kuna kimono kmoja moshi vijijin nilifika yaan story za apo n uchawi tu. na mtu akianza kufanikiwa tu kimaisha anarogwa, mara mg'ombe, mazao yaan wachawi hapana.
 
wachawi ndo waleta matatizo. je ni mikoa gani kuna vinara wa kutoa uchawi??
 
Usafiri wa ungo upo wa aina nyingi, upo usafiri wa ungo unaotumia wanyama, upo usafiri wa kutumia fagio, upo usafiri wa kutumia fimbo, upo usafiri wa kutumia ungo.

Wachawi wote wana roho ya uchawi, roho ya uchawi ni roho inayokufanya uweze kupita eneo ngumu na kutokeza upande wa pili, kwa mfano wachawi wanapowanga usiku roho hizi huwafanya kuingia katika nyumba yoyote na kuwafanyia uchawi usiku watu waliolala ndani ya nyumba hizo bila ya kuonekana. Isipokuwa nyumba za walokole haziingiliki kabisa.

Roho za uchawi zinawawezesha wachawi kujibadilisha maumbo yao, kutoka maumbo ya kibinadamu na kugeuka kuwa paka, panya, kunguru n.k.

Wanapotaka kusafiri anakuwa na vifaa vyake vya kichawi, kisha huomba dua akinuizia majini yampeleke sehemu fulani, roho yake ya uchawi na majini humuinua juu angani kwa kasi hadi eneo alilokusudia. Usafiri wa aina hii ni hatari kwani unaweza kutunguliwa kirahizi ukiwa angani.

Usafiri wa kutumia wanyama kama fisi, hutumika kwa nchi kavu tu, hawawezi kuvuka bahari kwenda visiwani au nchi za mbali.

Usafiri wa kasi sana ni wa kutumia fimbo, kabla ya kuanza safari, unaomba dua ya manuizo na kukanyanga incha moja ya fimbo, roho ya uchawi na majini hukuinua juu angani, kama unataka kwenda Nigeria kutoka Dar, utaonyeshwa njia yote ilivyo, kama kuna hatari yoyote huonekana, na inabidi uhairishe safari, kama njia ni nyeupe, unatakiwa ukanyage incha ya pili ya fimbo, na safari huanza kwa kasi ya sauti. Kwa sababu safari ni ya kasi sana na upepo ni mkali sana, kiasi kuwa huwezi kufika ukiwa hai, majini huchomoa roho yako ndani ya mwili wako na roho kukutangulia mbele, mwili wako huikimbiza roho yako ukiwa katika hali ya umauti, unaweza kutumia sekunde 10 kufika Nigeria, lakini ni usafiri wa hatari kuliko zingine, usafiri huu hujulikana kama usafiri wa kujichinja.

Wachawi wa Marekani na bara Ulaya wao hutumia sana usafiri wa fagio.
[emoji23][emoji23] aise .. mambo mazito haya
 
A recent study from the University of Helsinki has suggested that religious people are more likely to have a poor understanding of the world.

It claims that those with a belief in God are more likely to think that inanimate objects, such as metal and oil can think and feel.

Researchers say that the findings suggest people's lack of understanding about the physical world means they apply their own rules, 'resulting in belief in demons, gods, and other supernatural phenomena'.

Participants were asked how much they agreed with the statement 'there exists an all-powerful, all-knowing, loving God' and if they believed in paranormal phenomena such as ghosts and psychic visions.

They were also tested on a range of other topics, including intuitive physics skills and understanding of basic biology.

The results showed that religious people tend to base their actions on instinct, rather than analytical thinking.

So, which part do you believe in?
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Ndugu umesahau Shinyanga na Head quarters zetu Gamboshi
 
KULE GAMBOSHI, BUKOBA NA MWISHO WA RELI SIJAUONA?
AU WAMESAHAULIKA KTKT UTAFITI, SAMPLING ILIKUWAJE?
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Duh .Yani Shinyanga haimo kwenye orodha?Nina Mashaka na mahali ulipo fanyia utafiti wako
 
Sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini Tanzania, Shule moja ipo Temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.

Ukimaliza Temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo Tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.

Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.

Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende Mombasa nchini Kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.
Hizo kashfa mjomba.hivyo unavyo viita vyuo vya uchawi madrasa hizo.Madrasa zote hizo ninazifahamu nje ndani
 
Back
Top Bottom