Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

Supply and demand
The market is saturated and this has pushed the prices down. Just imagine a around costs as low as five hundred shillings.
Even the venue is more expensive than the commodity.
Kama ppch ni Mia tano, mlinzi anachukua bei gani? Sababu huwezi lipia chumba elfu tano kwa ppch ya jero.
Kuna mjinga mmoja nilimtania Sinza juzi, akaniambia short time elfu ishirini, mpaka majogoo hamsini. Nikamuangaliaaaaaah. Twenty thousand.?? Twenty ? Msimbazi mbili halafu bidhaa yako unaondoka nayo?
 
Kwani mkuu ulitaka umiliki wewe hiyo commodity baada ya kuinunua?

Bidhaa za show ya kuona na kuziacha hapo hapo mbona nyingi sana?

Unasemaje kuhusu movie, matamasha ya music nk huwa ukiingia na kuona ama kucheza huwa unaondoka nayo?

Siyo kila kiitwacho kitamu ni kwaajili ya kuliwa.
 
Mwili auze yeye kuchoka achoke yeye kununua wanunue wengne ww uje ufanye utafiti Tanzania kua vtu ving sana vya kufanyia utafiti tena vyenye tija kwa wananchi na nchi kwa ujumla
Mwandishi wa gazeti kubwa km Mwananchi unaenda kufanya utafiti wa malaya uliozuru waty wachache wa dar unaacha kufanya utaftibwa vtu vikubwa vyenye madhara kwa taifa na jamii
 
Kwani mkuu ulitaka umiliki wewe hiyo commodity baada ya kuinunua?

Bidhaa za show ya kuona na kuziacha hapo hapo mbona nyingi sana?

Unasemaje kuhusu movie, matamasha ya music nk huwa ukiingia na kuona ama kucheza huwa unaondoka nayo?

Siyo kila kiitwacho kitamu ni kwaajili ya kuliwa.
Kinachoniuma ni ile hali bidhaa anabaki nayo halafu tena kesho anakuuzia bidhaa ile ile. Kwenye movie angalau kesho wanaleta movie nyingine au Diamond hawezi kupiga muziki huo huo januari mpaka December. Muziki wanaleta mpya. Sasa hii ppchi?
 
Hilo nalo neno.
 
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.

Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana na biashara hiyo bila mafanikio na sasa imeonekana kuchukua sura mpya...
Mwenyekiti Muongo Kwani hajui kinachoendelea?
 
Kinachoniuma ni ile hali bidhaa anabaki nayo halafu tena kesho anakuuzia bidhaa ile ile. Kwenye movie angalau kesho wanaleta movie nyingine au Diamond hawezi kupiga muziki huo huo januari mpaka December. Muziki wanaleta mpya. Sasa hii ppchi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom