Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
- Thread starter
-
- #21
la shaka, nakupigia kesho0783250479 kama utahitaji maelezo zaidi.
Duhh, so demand imezidi supply au imekuwaje?Hii biashara ni tamu ukiwa mwenyeji.huku kwetu lwamgasa mkoa wa geita kwa sasa mambo yamegoma kidogo.makota aka wanunuzi wa dhahabu hawapati mzigo wa kutosha.usipokuwa mwenyeji unaweza ishia kununua mzigo wa laki kwa siku.
Gemstones za Tanga au za Arusha?Vipi kuhusu wateja wa Gemstones wadau!?
Naomba utupe ufafanuzi zaidi kuhusiana na hii issue ya kuwa makini kwa sababu its like u are really very cautiousndugu nawasisitizia muwe makini mno.ikiwezekana zaidi ya umakini.
Naitamani sana hii biashara ila inachangamoto nyingi ndio maana watu wengi wanaiona biashara ya kimafia na sio hivyo ukijiingiza katika dhuluma unajitia matatani ndio maana wageni wengi wanaifanya sisi tunatumia muda mwingi kujiuliza na kutafakri na so kuchukua atua.nami nataka kujua changamoto nisubutu kuifanya.B
Basi i tink we share dreams and ambitions, tuchangamke basi
Nami nitakutafuta kiongozi0783250479 kama utahitaji maelezo zaidi.
Thanks bruhh, you are great! asante kwa advise yako na kwa muda wako, i really appreciate. So issue kubwa sana ni kutapeliwa na kuuziwa gold fake? kunazo mbinu kadhaa najua za kujua kama ni gold kweli au ni fake. Kwa mfano:
1. If u scratch gold on an enamel material, kama zile sahani au vikombe vya bilahuri, inafaa kuacha marks za yellow na sio rangi ingine. ikitoa rangi ya nyeusi, jua kwamba ni fake
2. Gold pia, its malleable, ina maana kwamba ukiifinya kwa pressure ya kutosha, inakunjika, sana sana, unatumia meno unaweka mdomoni ni kama unauma, kama sio maleeable basi hiyo sio gold.
Au changamoto ipi nyingine mkuu?
Ina rangi ya kujani lipo kama chupa alafu inahakisi mwanga vile yaani kama kioo ndani ukiangali ina rangirangi ya chokleti kwa mbali nihayo tuhapo vipi inaonekana vizuri maana sina utaharamu wa kupiga picha
hata hivo ndio maana nimekushauri kabla hujaingiza pesa yako cha muhimu wafuate hao uijue kwanza dhahabu ilivo bila hivo utalia mkuu
wengiwamelizwa kwa kuuziwa powder ya cork za maji wanazisaga au wengine hupakaza chuma ko muhimu hapa si kijijini au mjini exprole environment first IJUE DHAHABU VIZURI na kama unataka kuwa na faida endelevu ila inahitaji uvumilivu nenda dhahabu ya tanga inakubalika zaidi kuliko ya geita maana purity yake kubwa TANGA UNAUZIWA feet kadhaa wanaanzia laki tatu bei ya mwaka jana tafuta vijana anza uchimbaji hapo utanunua kwa hawa uliowaweka bei nusu as ni sehemu yako ndivo wanavofanya kikubwa uwe care wasikuubie
na mtaji by then million tano unaweza kuanzia
hii ya kununua mkononi jipange kwa yote mkuu la sivyo kuwa na mashine kidogo hiyo itakusaidia kupunguza risk za kuibiwa
Mkuu hii mashine inauzwa wapi?Kabla hujaingia mkuu tafuta muda kutembelea japo masonara dar uijue kuna wizi Mkubwa kwenye dhahabu
Ukifuatilia utanunua Mashine ile ni digital inapima Na kutambua madini yote kwa kuanzia nenda pale Kariakoo soko kuu hili Lango la mbele kueleke kwenye vile vyoo mle ndani kuna ofisi
Ulizia Omari atakusaidia anahusika Na hiyo business Na atakujuza vizuri
Mimi pia nahusika nazo but njia ya pili
Wote unaowajua hapa dar wengi wapo kwenye hizi fake kuwa makini sana
Sisi tunauza kwa kilo moja 23000usd
Kwa zile original gram moja ilikuwa 67tsh but kaulizie vizuri mkuu
umemshauri vyema.tanga dhahabu ipo handeni sehemu initwa magambazi.au mkata sehemu inaitwa manga ;amani na kwingine kwingi.na purity yake nzuri sana.ila naendelea kusisitiza usiende kichwa juuu utalipuliwahata hivo ndio maana nimekushauri kabla hujaingiza pesa yako cha muhimu wafuate hao uijue kwanza dhahabu ilivo bila hivo utalia mkuu
wengiwamelizwa kwa kuuziwa powder ya cork za maji wanazisaga au wengine hupakaza chuma ko muhimu hapa si kijijini au mjini exprole environment first IJUE DHAHABU VIZURI na kama unataka kuwa na faida endelevu ila inahitaji uvumilivu nenda dhahabu ya tanga inakubalika zaidi kuliko ya geita maana purity yake kubwa TANGA UNAUZIWA feet kadhaa wanaanzia laki tatu bei ya mwaka jana tafuta vijana anza uchimbaji hapo utanunua kwa hawa uliowaweka bei nusu as ni sehemu yako ndivo wanavofanya kikubwa uwe care wasikuubie
na mtaji by then million tano unaweza kuanzia
hii ya kununua mkononi jipange kwa yote mkuu la sivyo kuwa na mashine kidogo hiyo itakusaidia kupunguza risk za kuibiwa
Mkuu hii mashine inauzwa wapi?
umemshauri vyema.tanga dhahabu ipo handeni sehemu initwa magambazi.au mkata sehemu inaitwa manga ;amani na kwingine kwingi.na purity yake nzuri sana.ila naendelea kusisitiza usiende kichwa juuu utalipuliwa
Tanga sehemu gani mkuu.. Na hapo kwenye kuuziwa feet kadhaa sh laki tatu, unaweza kufafanua kidogo mkuu. Vipi kuhusu gharama za uchimbaji nakadhalika? With much thanx in advance.