Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu

Hii biashara ni tamu ukiwa mwenyeji.huku kwetu lwamgasa mkoa wa geita kwa sasa mambo yamegoma kidogo.makota aka wanunuzi wa dhahabu hawapati mzigo wa kutosha.usipokuwa mwenyeji unaweza ishia kununua mzigo wa laki kwa siku.
Duhh, so demand imezidi supply au imekuwaje?
 
Hhahahahaha, naomba
ndugu nawasisitizia muwe makini mno.ikiwezekana zaidi ya umakini.
Naomba utupe ufafanuzi zaidi kuhusiana na hii issue ya kuwa makini kwa sababu its like u are really very cautious
 
hii siyo biashara ya mchezo mchezo.unaweza lia.kuna aina nyingi za dhahabu.kuna ya kaki na ile ya kaki iliyokoza.ukijichanganya ukanunua dhahabu ya kaki utajuta
 
B

Basi i tink we share dreams and ambitions, tuchangamke basi
Naitamani sana hii biashara ila inachangamoto nyingi ndio maana watu wengi wanaiona biashara ya kimafia na sio hivyo ukijiingiza katika dhuluma unajitia matatani ndio maana wageni wengi wanaifanya sisi tunatumia muda mwingi kujiuliza na kutafakri na so kuchukua atua.nami nataka kujua changamoto nisubutu kuifanya.
 
Thanks bruhh, you are great! asante kwa advise yako na kwa muda wako, i really appreciate. So issue kubwa sana ni kutapeliwa na kuuziwa gold fake? kunazo mbinu kadhaa najua za kujua kama ni gold kweli au ni fake. Kwa mfano:

1. If u scratch gold on an enamel material, kama zile sahani au vikombe vya bilahuri, inafaa kuacha marks za yellow na sio rangi ingine. ikitoa rangi ya nyeusi, jua kwamba ni fake

2. Gold pia, its malleable, ina maana kwamba ukiifinya kwa pressure ya kutosha, inakunjika, sana sana, unatumia meno unaweka mdomoni ni kama unauma, kama sio maleeable basi hiyo sio gold.

Au changamoto ipi nyingine mkuu?

usijali mkuu tunasaidiana hizo mbinu ni sahihi na zaidi ya hapo ujue mbinu unayoiwazia mwenzio keshaitafutia solution ili akuibie
kwenye madini kuingia chaka ni rahisi sana inahitaji usome mazingira vizuri mfano unatakiwa uwepo kwenye hayo machimbo for while

HAPA DAR WENGI WANAUZA DHAHABU FEKI MZUNGU NA UELEWA WAKE ULE ANALIZWA mnaipeleka kuichek kwenye mashine seimic inakubali kumbe feki ingia kwenye mchezo nina imani utajifunza na utaweza only kuwa careful
 
ba58dc4011a3602b80a89fa395d04c66.jpg
mototo wangu kaokota jiwe akanilete nini hiki
 
Picha haionekani vizuri sana kwa hiyo si rahisi kujua ni jiwe gani. Labda utuambie limepatikana sehemu gani (huko wapi)?
 
d4a676cae8730e902b52e70a95fec8bc.jpg
1810d9fd163b7b5b4fc2c7ba55e8a0b2.jpg
hapo vipi inaonekana vizuri maana sina utaharamu wa kupiga picha
 
d4a676cae8730e902b52e70a95fec8bc.jpg
1810d9fd163b7b5b4fc2c7ba55e8a0b2.jpg
hapo vipi inaonekana vizuri maana sina utaharamu wa kupiga picha
Ina rangi ya kujani lipo kama chupa alafu inahakisi mwanga vile yaani kama kioo ndani ukiangali ina rangirangi ya chokleti kwa mbali nihayo tu
 
hata hivo ndio maana nimekushauri kabla hujaingiza pesa yako cha muhimu wafuate hao uijue kwanza dhahabu ilivo bila hivo utalia mkuu
wengiwamelizwa kwa kuuziwa powder ya cork za maji wanazisaga au wengine hupakaza chuma ko muhimu hapa si kijijini au mjini exprole environment first IJUE DHAHABU VIZURI na kama unataka kuwa na faida endelevu ila inahitaji uvumilivu nenda dhahabu ya tanga inakubalika zaidi kuliko ya geita maana purity yake kubwa TANGA UNAUZIWA feet kadhaa wanaanzia laki tatu bei ya mwaka jana tafuta vijana anza uchimbaji hapo utanunua kwa hawa uliowaweka bei nusu as ni sehemu yako ndivo wanavofanya kikubwa uwe care wasikuubie
na mtaji by then million tano unaweza kuanzia

hii ya kununua mkononi jipange kwa yote mkuu la sivyo kuwa na mashine kidogo hiyo itakusaidia kupunguza risk za kuibiwa

Tanga sehemu gani mkuu.. Na hapo kwenye kuuziwa feet kadhaa sh laki tatu, unaweza kufafanua kidogo mkuu. Vipi kuhusu gharama za uchimbaji nakadhalika? With much thanx in advance.
 
Kabla hujaingia mkuu tafuta muda kutembelea japo masonara dar uijue kuna wizi Mkubwa kwenye dhahabu
Ukifuatilia utanunua Mashine ile ni digital inapima Na kutambua madini yote kwa kuanzia nenda pale Kariakoo soko kuu hili Lango la mbele kueleke kwenye vile vyoo mle ndani kuna ofisi
Ulizia Omari atakusaidia anahusika Na hiyo business Na atakujuza vizuri
Mimi pia nahusika nazo but njia ya pili
Wote unaowajua hapa dar wengi wapo kwenye hizi fake kuwa makini sana

Sisi tunauza kwa kilo moja 23000usd
Kwa zile original gram moja ilikuwa 67tsh but kaulizie vizuri mkuu
Mkuu hii mashine inauzwa wapi?
 
hata hivo ndio maana nimekushauri kabla hujaingiza pesa yako cha muhimu wafuate hao uijue kwanza dhahabu ilivo bila hivo utalia mkuu
wengiwamelizwa kwa kuuziwa powder ya cork za maji wanazisaga au wengine hupakaza chuma ko muhimu hapa si kijijini au mjini exprole environment first IJUE DHAHABU VIZURI na kama unataka kuwa na faida endelevu ila inahitaji uvumilivu nenda dhahabu ya tanga inakubalika zaidi kuliko ya geita maana purity yake kubwa TANGA UNAUZIWA feet kadhaa wanaanzia laki tatu bei ya mwaka jana tafuta vijana anza uchimbaji hapo utanunua kwa hawa uliowaweka bei nusu as ni sehemu yako ndivo wanavofanya kikubwa uwe care wasikuubie
na mtaji by then million tano unaweza kuanzia

hii ya kununua mkononi jipange kwa yote mkuu la sivyo kuwa na mashine kidogo hiyo itakusaidia kupunguza risk za kuibiwa
umemshauri vyema.tanga dhahabu ipo handeni sehemu initwa magambazi.au mkata sehemu inaitwa manga ;amani na kwingine kwingi.na purity yake nzuri sana.ila naendelea kusisitiza usiende kichwa juuu utalipuliwa
 
Mkuu hii mashine inauzwa wapi?

kila kitu kipo mkuu nakushauri nenda kariakoo kamuulizie huyo Omari ndani ya soko kuu ni ofisi yake pekee inayohusika na mADINI mle ndani utasaidiwa kila kitu mkuu kikubwa kama unaipenda nawe hii bussiness soma mazingira kwanza
 
umemshauri vyema.tanga dhahabu ipo handeni sehemu initwa magambazi.au mkata sehemu inaitwa manga ;amani na kwingine kwingi.na purity yake nzuri sana.ila naendelea kusisitiza usiende kichwa juuu utalipuliwa

pamoja mkuu hii bussiness akiwa committed ina faida kubwa sana but umakini utapeli mwingi sana nadhani kuliko industry zote nizijuazo chanzo wengi tunakosa taarifa kabla hujaingia
 
Tanga sehemu gani mkuu.. Na hapo kwenye kuuziwa feet kadhaa sh laki tatu, unaweza kufafanua kidogo mkuu. Vipi kuhusu gharama za uchimbaji nakadhalika? With much thanx in advance.

thanks umejibiwa Handeni fanya study kwanza mkuu ila vibarua unawalisha wewe na ni makubaliano wakipata dhahabu wanakuuzia wewe kwa nusu bei mengine utayajua ukiingia HAPA USIHOFU SANA KUHUSU MTAJI mimi yule jamaa alinambia tafuta 3m uingie but sijawa interested katika field hiyo kikubwa ina pesa ukisimama vizuri na ukawa makini KULIKO HIYO UNAYOTAKA KUNUNUA MKONONI ITAKU COST SANA MKUU kama bado hujaijua vizuri dhahabu utapeli mwingi ya kuchimba mwenyewe una uhakika ni yenyewe
 
Back
Top Bottom