Biashara ya Ununuzi wa Dhahabu


hapo tu ndipo umemaliza kwanza nikuonavyo hujasoma comments zangu toka huko juu na ulivyo mpungufu wa mawazo unaishi kwa kuhisi
na Kizuri umeprove kile nikisemacho upo katika hao unaowaita matapeli HIZO BEI UMEZIJUAJE KAMA HAUPO HILO KUNDI

BASI TAPELI MWENZANGU KAMA ULIVYOSEMA MKUU

KIFUPI usimpe mwenzio imani kuingia katika biashara ya madini kichwa kichwa

na kariakoo ni kama huijui vile mkuu hakuna masonara mpaka kisutu UKAPIMWE AKILI MKUU

kiufupi JAMBO LOLOTE TUMIA AKILI MKUU HUYO KWENDA HAJAENDA MAANA ANGEENDA ANGELETA FEEDBACK HUMU

watu wajinga kama nyinyi tunawaacha mlivyo MWELEKEZE MWENZIO ABC ZA KUPITA usitake tuwataje wapigaji wanajulikana na serikali ipo wanapeta ko tuyaache
 
6. Katika statement yangu ni wapi nimesema naijua dhahabu mpaka wewe useme kuwa najifanya naijua dhahabu? [emoji4] [emoji4]
ko hujasema? useme usiseme kikubwa toa kile uelewacho huo ni upimbi kuitana matapeli NITAKUPELI UJE USIMULIE VIZURI BAHATI YAKO HUNA PESA hahahahah
maana unabwabwaja sana bora mimi bukubuku hazikosekani mfukoni njoo ulime

huko machimboni utasubiri sana labda ujitoe kafara mwenyewe
 
Iicha ya kuijua, lakini SIJAMSHAURI AFANYE, BESIDES LABDA NISEME TU KUWA SI BIASHARA YA KUJARIBU AU AFANYE KITU KINGINE.

WEWE, huko ulimpomueleza ndo salama? Acha hizo mzee, hamtapeli watu sasa, Hata kama upo smart kiivyo. Unamshauri aende kkoo, ndo akutane Na kipindi? [emoji56] [emoji56] . Humu ndani hakuna kutapeli mtu kirahisi hivyo. Na ukitaka nifute kauli yangu, eleza hapa kwa ufasaha hiyo bei ya 23000$/kg ni ya wapi, lini Na specification ya dhahabu hiyo. Hapo tu kwa mzoefu anajua kuna kupigwa. Unajifanya kumsaidia kwamba upo smart sana si ndio, ila aende kkoo? [emoji3] [emoji3] [emoji3] . Kama nyie mnauza Na wewe ni mfanya biashara, utamwelekezaje aende kkoo kwa mwingine, Na si wewe? Kwahiyo huyo wa kkoo ye ndo reliable sana? [emoji53] [emoji53]

Jiange richard Nina project kubwa sana ya kuwaumbua, Na kuwafichua.

Jibu kwanza kuhusu bei kama wewe si tapeli.
 
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...
 

mkuu nakuona maneno yako yapo kwenye kilio kana kwamba umewahi kutapeliwa SEMA KIZURI UMERUDI KWENYE MSTARI WANGU
HII SI BIASHARA YA KUKIMBILIA mwenzio hata hayo machimbo sijafika kama wewe uliyevurugwa unakaa mwezi mzima shimoni ndio maana kidogo zimekupungua mkuu

na kama nilivyokueleza mwanzo husomi comments za juu hiyo bei nimeitaja kama unavyoijua hata wewe mwenyewe ni ya kina nani

PIA MKUU BIASHARA SIO UGOMVI huyu kashauriwa sana asiingie kichwa kichwa watu wanauziwa coke za bomba zinasagwa na kuaminishwa ni vumbi la dhahabu

nimekushauri njoo tulime maana hilo povu linalokutoka kubwa ANGEENDA KARIAKOO NINGEJIBU HAYO AU HATA ANGEREJESHA RESEACH ALIYOFANYA
BILA HIVO NAKUONA MJINGA FULANI ANAYETAFUTA UJIKO MITANDAONI badilika usiishi kwa kuropoka mkuu
 
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...

seamic unaijua vizuri mkuu? upo bado mashimoni hujui wapi unapima dhahabu mpaka leo mkuu
 
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...

seamic unaijua vizuri mkuu? upo bado mashimoni hujui wapi unapima dhahabu mpaka leo mkuu
 
Labda fyi, Mimi sijakaa Shimoni, nimefanya kazi mikoa yenye migodi, so mazingira nayajua.

Pili, SIJAWAHI TAPELIWA, ila nimeshuhudia wadau wakitapeli Na kutapeliwa kwa ukaribu.

LA mwisho, hujajibu hoja ya bei nilokuuliza, lakini muhimu hujasema KAMA NYIE MNAUZA, UNAUZA KAMA KAMPUNI AU INDIVIDUAL, NA MPO WAPI KAMPUNI YENU INAITWAJE? PIA UNAWEZA ELEZA KWANINI UMEMDIRECT AENDE KKOO KUPATA INFO? SINCE WEWE MWENYEWE UNAUZA NA HADI UNAUZA UNAJUA VIZURI? KWANINI USIMPE MUONGOZO WEWE?
 
seamic unaijua vizuri mkuu? upo bado mashimoni hujui wapi unapima dhahabu mpaka leo mkuu
Naijua Seamic kunduchi kuliko pesa, huko ndo chaka mnalopeleka kuwaaminishia watu kwa results zao, yani mnapiga change kota mnapeleka dhahabu real kule, mnafanya essay testing then majibu ya purity yanatoka mnaenda kumaliza kazi.... Nachokwambia ninajua mnyororo wote wa hiyo kazi zenu...
 

HUJASHUHUDIA BALI UMESHIRIKI MKUU BE SPECIFIC maana naamini ungeshuhudia ungesaidia kulieleza japo hata humu lakini kwa unafiki ulionao baada ya kumuona huyu mgeni akili ikakutuma kufanya utapeli
lakini comments zetu zimekufunga POLE SANA JOMBA

SEAMIC ILISHAFUNGWA ZAMANI HUJUI ULILOLISEMA na huko machimboni nahisi umesimuliwa tu mkuu


na kukusaidia nenda pale kariakoo soko kubwa kamuulizie Omari kuna ofisi ya madini mle then uje humu kusimulia mkuu

bila ushuhuda usizungumze kama kasuku biashara ipo verified under Government rules UTASHAURIWA NA KUSAIDIWA KATIKA LOLOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…