Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Utapeli huu naujua vizuri sana. Na Hata baadhi ya machine haziwezi kusaidia kugundua feki au reall, Na Mimi licha ya kuijua nimekaa kwa migodi mzee. Wewe believe me ni TAPELI, kwanza, dalilili ya utapeli wako ni je. Inawezekana vip
1. Kg moja useme $23,000? Bei ya dhahabu toka mwaka uanze haipo hivyo, hizo ni bei za wapigaji
2. Kwanini umeanza kutoa bei ya kg? Maana wapigaji wao wanauza kwa kg Na hizo ni bei zao.
3. Hiyo bei yako mnaouza, je ni carat ngapi? Purity au je ni bars au CHENGA?
4. Wanunuzi wa dhahabu masonara wengi pia wapo kisutu, huyo kariakoo nani? Wapigaji.
5. Kumshauri anunue mashine Si waiver ya kuwa wewe si tapeli, unajifanya unamshauri kwa makini kumbe kipindi atakutana nacho kkoo kwa huyo uliye mdirect?
Tusifaidishe wengi kwa marumbano yasio Na tija, haina haja niseme wewe Nani Na kundi lako ni wabeshi wapi.
Nachokwambia kuwa wewe ni TAPELI,au broker wanaita wao, yani unatafuta makoro mitandaoni.
Sijakurupuka kaka, Mimi nawajua nyie mentality yenu mwanzo mwisho.
hapo tu ndipo umemaliza kwanza nikuonavyo hujasoma comments zangu toka huko juu na ulivyo mpungufu wa mawazo unaishi kwa kuhisi
na Kizuri umeprove kile nikisemacho upo katika hao unaowaita matapeli HIZO BEI UMEZIJUAJE KAMA HAUPO HILO KUNDI
BASI TAPELI MWENZANGU KAMA ULIVYOSEMA MKUU
KIFUPI usimpe mwenzio imani kuingia katika biashara ya madini kichwa kichwa
na kariakoo ni kama huijui vile mkuu hakuna masonara mpaka kisutu UKAPIMWE AKILI MKUU
kiufupi JAMBO LOLOTE TUMIA AKILI MKUU HUYO KWENDA HAJAENDA MAANA ANGEENDA ANGELETA FEEDBACK HUMU
watu wajinga kama nyinyi tunawaacha mlivyo MWELEKEZE MWENZIO ABC ZA KUPITA usitake tuwataje wapigaji wanajulikana na serikali ipo wanapeta ko tuyaache