Safi sana kwa maelezo yasiyo na uchoyo kaka.
Karibu, mi dada/mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana kwa maelezo yasiyo na uchoyo kaka.
Habari wanaforumu katika eneo nililopo kuna fursa nimeiona nayo ni kiwanda cha mikate(bakery industry)
hapa pana umeme na ni mji mkubwa lakn wafanya biashara wanalazimika kuagiza mikate hiyo mkoa mwingine zaidi ya kilometa 200.
SASA BASI KWAANAE FAHAMU GHARAMA HALISI NA VIFAA VINAVYOTUMIKA KATIKA INDUSTRY HII NAOMBA MUUONGOZO WADAU.
Kabla sijaeleza kidogo ninachojua kuhusu kiwanda cha mikate, nigependa kukuuliza ni kipi unachojua kuhusu mikate??????
Kitu cha muhimu katika kuoka mitakate ni
1. Oven
2. Mixer
Vingine ni mari ghafi uzijuavyo
Mali Ghafi
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.
Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
Niambie ukweli Jackquiline hawa watu ni wa kweli?
Sifahamu sana kuhusu VICCOBA lakini sidhani kama unaweza kukopeshwa pesa nyingi km hizo kiurahisi hivyo, kwa kuingia tu kwny website. Kuna utapeli sana siku hizi wana forum kuweni makini.