General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Mkuu!Habari zenu,
mimi ni graduate Kutoka chuo kikuu hapa Tanzania,ninataka kujiajiri kwa kuanzisha kiwanda cha mikate,wazo hili limekuja kutokana na wilaya niliyopo kutokuwa na kiwanda hata kimoja cha mikate kwani hutegemea mikate kutoka nje ya wilaya.
Kutokana na masomo niliyosoma chuo kikuu,nikaona bora nijiajiri huku kwani ndio fani yangu kubwa.
Ninaomba ushauri na msaada wapi nianzie?
Hongera Mkuu!Habari zenu,
mimi ni graduate Kutoka chuo kikuu hapa Tanzania,ninataka kujiajiri kwa kuanzisha kiwanda cha mikate,wazo hili limekuja kutokana na wilaya niliyopo kutokuwa na kiwanda hata kimoja cha mikate kwani hutegemea mikate kutoka nje ya wilaya.
Kutokana na masomo niliyosoma chuo kikuu,nikaona bora nijiajiri huku kwani ndio fani yangu kubwa.
Ninaomba ushauri na msaada wapi nianzie?
Mkuu naomba mchanganuo wa hiyo 200M itakavyotumika katika hiyo initial investment.i hope una experience ya kutoshaMtaji wa chini uwe na ml 200.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mtaji wa chini uwe na ml 200.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
1.Anatakiwa awe na oven hii kwa ajili ya kuchomea mikate.ili mtu aweze kuwa na complete Bakery vifaa vipi vinahitajika na Total bei gani
Jumla ya Fedha zinazohitajika ili uwe na vitu hivi vyote nis Shilingi ngapi1.Anatakiwa awe na oven hii kwa ajili ya kuchomea mikate.
2.Anatakiwa awe na mixer hii kwa ajili ya kuchanganya unga.
3.Anatakiwa awe na bread slicer hii ni kwa ajili ya kukatia mikate slesi.
4.Anatakiwa awe na profer hii ni machine kwa ajili ya kuimulia mikate.
5.Anatakiwa pia awe na hand sealing hii machine kwa ajili ya kufunga vibanio katika mfuko baada ya mkate kuingizwa katika mfuko wake.
6.Anatakiwa awe na vibati kwa ajili ya kuekea mikate katika oven.
Naomba ushauri ;
Tuna kikundi chetu cha kina mama na tunataka kuanzisha project ya bakery, Please naomba ushauri ya makadirio ya gharama ya kuanzia,Kama inawezekana orodha ya vifaa vinavyoitajika ili kutuwezesha kuanza project yetu
Natanguliza shukrani.
complete bakery inategemeana na aina ya bakery au uwingi wa production yake ila siwez changanua kote huku sema niweka kwenye kitabu au soft copy kama utakuwa tayari nitafute upate nakala yake popote pale na muda c mrefu nitatuma softi copy yake humu mawasiliano 0755533903ili mtu aweze kuwa na complete Bakery vifaa vipi vinahitajika na Total bei gani
Okay thanks fanya hima tupate hiyo softcopycomplete bakery inategemeana na aina ya bakery au uwingi wa production yake ila siwez changanua kote huku sema niweka kwenye kitabu au soft copy kama utakuwa tayari nitafute upate nakala yake popote pale na muda c mrefu nitatuma softi copy yake humu mawasiliano 0755533903
Mkuu nimekukucheck hupatikan nahitaji vifaa hivi Full equipment! Nitumie Quotation viatemix biashara ya bakery ni biashara inayolipa vizuri tu.
Mimi nasupply vifaa vyote vya bakery kama gas/electric oven,spiral and speed mixers,profers,bread slicers kwa gharama nafuu.
0715677739 Dar
View attachment 538934