Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

Kijana wa SUA una moto kweli temix
Sasa unataka msaada gani?

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu,

mimi ni graduate Kutoka chuo kikuu hapa Tanzania,ninataka kujiajiri kwa kuanzisha kiwanda cha mikate,wazo hili limekuja kutokana na wilaya niliyopo kutokuwa na kiwanda hata kimoja cha mikate kwani hutegemea mikate kutoka nje ya wilaya.

Kutokana na masomo niliyosoma chuo kikuu,nikaona bora nijiajiri huku kwani ndio fani yangu kubwa.

Ninaomba ushauri na msaada wapi nianzie?
Hongera Mkuu!
Karibu kwa ajili ya kupata huduma zote za ushauri katika masuala ya biashara
Miongoni mwa huduma zetu ni pamoja na
1. Kukusaidia kusajili kampuni katika taasisi zote kama BRELA TRA, TFDA na TBS
2. Kuandika 'Memorandum & Article of Association' kwa kampuni zote
3. Kuandika 'Business Proposal' na 'Business Plan'
4. Ushauri wa kibiashara na nyingine nyingi

Kwa mashauriano usisite kutuandikia katika barua pepe:iconsultbuzness@gmail.com

i-Bussiness Consult
"Reach New Heights"

Habari zenu,

mimi ni graduate Kutoka chuo kikuu hapa Tanzania,ninataka kujiajiri kwa kuanzisha kiwanda cha mikate,wazo hili limekuja kutokana na wilaya niliyopo kutokuwa na kiwanda hata kimoja cha mikate kwani hutegemea mikate kutoka nje ya wilaya.

Kutokana na masomo niliyosoma chuo kikuu,nikaona bora nijiajiri huku kwani ndio fani yangu kubwa.

Ninaomba ushauri na msaada wapi nianzie?
Hongera Mkuu!
Karibu kwa ajili ya kupata huduma zote za ushauri katika masuala ya biashara
Miongoni mwa huduma zetu ni pamoja na
1. Kukusaidia kusajili kampuni katika taasisi zote kama BRELA, TRA, TFDA na TBS
2. Kuandika 'Memorandum & Article of Association' kwa kampuni zote 'limited by shares'
3. Kuandika 'Business Proposal' na 'Business Plan'
4. Ushauri wa kibiashara na nyingine nyingi

Kwa mashauriano usisite kutuandikia katika barua pepe:iconsultbuzness@gmail.com
"Reach New Heights"

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mtaji wa chini uwe na ml 200.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mtaji wa chini uwe na ml 200.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba mchanganuo wa hiyo 200M itakavyotumika katika hiyo initial investment.i hope una experience ya kutosha
 
ili mtu aweze kuwa na complete Bakery vifaa vipi vinahitajika na Total bei gani
1.Anatakiwa awe na oven hii kwa ajili ya kuchomea mikate.
2.Anatakiwa awe na mixer hii kwa ajili ya kuchanganya unga.
3.Anatakiwa awe na bread slicer hii ni kwa ajili ya kukatia mikate slesi.
4.Anatakiwa awe na profer hii ni machine kwa ajili ya kuimulia mikate.
5.Anatakiwa pia awe na hand sealing hii machine kwa ajili ya kufunga vibanio katika mfuko baada ya mkate kuingizwa katika mfuko wake.
6.Anatakiwa awe na vibati kwa ajili ya kuekea mikate katika oven.
 
Jumla ya Fedha zinazohitajika ili uwe na vitu hivi vyote nis Shilingi ngapi
 
Naomba ushauri ;

Tuna kikundi chetu cha kina mama na tunataka kuanzisha project ya bakery, Please naomba ushauri ya makadirio ya gharama ya kuanzia,Kama inawezekana orodha ya vifaa vinavyoitajika ili kutuwezesha kuanza project yetu
Natanguliza shukrani.
ili mtu aweze kuwa na complete Bakery vifaa vipi vinahitajika na Total bei gani
complete bakery inategemeana na aina ya bakery au uwingi wa production yake ila siwez changanua kote huku sema niweka kwenye kitabu au soft copy kama utakuwa tayari nitafute upate nakala yake popote pale na muda c mrefu nitatuma softi copy yake humu mawasiliano 0755533903
 
Okay thanks fanya hima tupate hiyo softcopy
 
IMG_20170818_140235.jpg
 
Salamu.
Nina mpango wa kuanzisha Bakery kijijini,naomba kujua wauzaji was majiko ya kuoka yanayotumia nishati nafuu...kuni au mkaa!
 
Ujue nishaumiza kichwa sana kufikiria kuajiriwa sema nin yatosha sasa

Nafikiria kuuza maandazi chapati na keki

Nakaribisha mawazo yenu.mtaji mpaka sasa sijapata ila ujuzi ninao hata kama sio mkali kiivyo.Nina imani wateja sikosi profit per day 7000 target ya kuanzia,location kigamboni.

Kama kuna mtu humu ashafanya hii biashara msaada wako tafadhali kabla sijala loss.
 
Habari za Leo.
By profession am doctor.
April mwaka huu 2018 naacha kazi na ni baada ya kutoona furaha na Amani katika kazi yangu.

(1)Aim ya kuandika Hapa nahitaji kupata mawazo zaidi ya kiuchumi namaani ujasiriamali na biashara Nipo mkoa wa Geita .

(2) nimeanza kuprocess mkopo mrefu na kutoka completely ,Kuna vitu nahitaji kuvitambua Hapa.
(a) kufatiliwa juu ya Deni ninaloliacha
(b) sababu nzuri ya kutokea.

:-*- experience ya waliacha kazi ni muhimu Sana.

I need positive people kwa ninachokwenda kukifanya.

Asante.
 
Back
Top Bottom