homomorphism
Member
- Feb 12, 2017
- 66
- 63
biashara nzuri sana mkuu. Nunua Tvs King 7.2M hizi ndo imara na zinadumu weka msimamizi ye ndo atafute madereva atakao wamudu upigee pesaa yakoo mkuu. Uzuri wa bajaji unapiga iwe ni nje ya mji au mjini kati. kwa mwanza hesabu ni Tsh elfu ishiriniNdgu wadau mimi n mkaz wa jiji la Mwanza ktk hali ya kutaka kujikwamua kiuchumi nimedhamiria kuanza biashara ya kusafirisha abiria kwa usafiri wa bajaji. Kwa hali hiyo kwa wenye uzoefu naomba msaada wa mambo yafuatayo;
1. Naomba kufahamu bei halisi ya kununua bajaji mpya.
2. Tahadhar muhimu za kuchukua/kuzngatia pindi naponunua bajaji mpya
3. Naomba kufahamu taratibu muhimu za kufuata kabla ya kuanza biashara hii.
4. Changamoto za biashara hii.
5. Ushaur juu ya mahali panapolipa zaid kwa wenye uzoefu na mazingira ya jiji la Mwanza
6. Ushaur kuhusu mengineyo.....
Natanguliza shukran zangu kwa wote mtakao amua kutumia muda wenu kunisaidia kimawazo ktk harakat zangu hizi.
biashara nzuri sana mkuu. Nunua Tvs King 7.2M hizi ndo imara na zinadumu weka msimamizi ye ndo atafute madereva atakao wamudu upigee pesaa yakoo mkuu. Uzuri wa bajaji unapiga iwe ni nje ya mji au mjini kati. kwa mwanza hesabu ni Tsh elfu ishirini
Uzuri wa bajaji.
- Gharama nafuu za uendeshaji
- Devera anajilipa mwenyewe cha msingi hesabu yako ikamilike
- Kodi Tsh Laki moja na nusu kwa mwaka
- Spare bei nafuu
Uoga ndio umasikini wako acha sie tunaofanya tufanye mkuu hakuna biashara isiyokua na changamoto kila kitu kinahitaji uthubutu.Bajaji moja. Hapo hapo dereva ale na aibe hapo hapo msimamizi nae ale na aibe na hapo hapo na bosi ule kweli.
Acheni mjaza ujinga mwenzenu. Mimi namshauri kama hiyo bajaj ataendesha mwenyewe anunue fasta.
Ila kama anamkabidhi dereva ajiandae kisaikolojia kusumbuliwa na akiwa mkali wanampigia zengwe inaibiwa
Dsm Genuine shock ups unaipata kwa 55,000 - 60,000 each!!Kwa anaejua gharama ya shockup Mpya ya bajaji
Tafadhali (TVs)
SafiiiNkondo 2
1. Naomba kufahamu bei halisi ya kununua bajaji mpya.
TVS-7.3M na RE BAJAJ-7M
2. Tahadhar muhimu za kuchukua/kuzngatia pindi naponunua bajaji mpya.
-nunua mpya usichukue second hand
-umesema unatokea Mwanza, kwa jiografia ya huo mji chukua RE-BAJAJ hizi zina nguvu lakini sio fuel efficiency, spare parts zake ni ghali compared to TVS KING
3. Naomba kufahamu taratibu muhimu za kufuata kabla ya kuanza biashara hii.
-Tafuta dereva mzuri, huyu kumpata unaweza fanya uchunguzi kupitia watu wanaoendesha naye
-ikatie comprehensive insuarance tumia bima ya CRDB ni 6% ya bei ya chombo
-Itengee akaunti special hela itakapokuwa inaingia
4. Changamoto za biashara hii.
-uaminifu wa madereva(hesabu)
-ajali barabarani
-service on time kufanya
-matumizi ya spare original
6. Ushaur kuhusu mengineyo.
-hakikisha unachukua hela kwa siku, usikubali uchukue hela kwa week mtasumbuana na dereva
-siku ya service hakikisha unakuwepo wewe/muwakilishi kujiridhisha vifaa vinavyowekwa ni Genuine
-kuna makampuni yana jishughulisha na kufanya service, usipende sana mafundi wa mitaani kuibiwa njenje
-mzuie/muonye dereva kukitoa chombo kukoroga/day waka
-ukinunua chombo waweza kaa nacho miezi hata 6-8 then kitoe kwa dereva kama mkataba ili kisikusumbue saana
wick
Thanks men.Dsm Genuine shock ups unaipata kwa 55,000 - 60,000 each!!
Umefikia wapi???Ndgu wadau mimi n mkaz wa jiji la Mwanza ktk hali ya kutaka kujikwamua kiuchumi nimedhamiria kuanza biashara ya kusafirisha abiria kwa usafiri wa bajaji. Kwa hali hiyo kwa wenye uzoefu naomba msaada wa mambo yafuatayo;
1. Naomba kufahamu bei halisi ya kununua bajaji mpya.
2. Tahadhar muhimu za kuchukua/kuzngatia pindi naponunua bajaji mpya
3. Naomba kufahamu taratibu muhimu za kufuata kabla ya kuanza biashara hii.
4. Changamoto za biashara hii.
5. Ushaur juu ya mahali panapolipa zaid kwa wenye uzoefu na mazingira ya jiji la Mwanza
6. Ushaur kuhusu mengineyo.....
Natanguliza shukran zangu kwa wote mtakao amua kutumia muda wenu kunisaidia kimawazo ktk harakat zangu hizi.
Hivi ukitenga masaa sita kwa siku kama overtime si inatosha sanaEndesha mwenyewe hata kama ni baada ya muda wa kazi, hadi saa nne usiku hutakosa kitu
!!
Yah! tena utapata pesa ambayo dereva angekupa kwa siku nzima au hata zaidi na bajaj ikawa salama na ikadumuHivi ukitenga masaa sita kwa siku kama overtime si inatosha sana
Bajaj mpya tvs ni bei gani????uoga ndio umasikini wako acha sie tunaofanya tufanye mkuu hakuna biashara isiyokua na changamoto kila kitu kinahitaji uthubutu