Duh huko hata sijui ramani yake. Mimi nipo Masaki Oyster bay na bajaj yangu inapark Africana Dar hivyo tofauti. Lakini umepata idea how to run it. Usifuatilie sana utakuwa kichaa na umpe mtu unayemwamini. Mpe account yako utakachojali ni mrejesho na limit ya muda mliowekeana kumaliza mkataba.
Average ni sh ngap per day? Ya mkataba.Duh huko hata sijui ramani yake. Mimi nipo Masaki Oyster bay na bajaj yangu inapark Africana Dar hivyo tofauti. Lakini umepata idea how to run it. Usifuatilie sana utakuwa kichaa na umpe mtu unayemwamini. Mpe account yako utakachojali ni mrejesho na limit ya muda mliowekeana kumaliza mkataba.
Mimi ilikuwa kwa week anaingiza 120,000/Average ni sh ngap per day?ya mkataba
Mimi ilikuwa kwa week anaingiza 120,000/
Siku alipokuwa anaipack nyumbani halipi maana hajaingiza. Mimi ni tozo la wiki nililofuatilia. Nikishapewa slip ya bank basi. 120,000.Na jumapili ikiwemo au jtatu mpka jmosi tu?
Siku alipokuwa anaipack nyumbani halipi maana hajaingiza. Mimi ni tozo la wiki nililofuatilia. Nikishapewa slip ya bank basi. 120,000.
Ukichukua ile bima kubwa itasaidia ila je una uhakika kama mtu wako akipata ajali utalipwa? Chukua ile ambayo ni basic lakini ni wewe siyo dereva. Inabidi uhangaike mpaka mwisho ndo umkabidhi bajaji.Ishu ya bima imekaaje?
TVS KING NDIO ZIPO KAMA YAI KWA MBELE?Biashara nzuri sana mkuu. Nunua Tvs King 7.2M hizi ndo imara na zinadumu weka msimamizi ye ndo atafute madereva atakao wamudu upigee pesaa yakoo mkuu. Uzuri wa bajaji unapiga iwe ni nje ya mji au mjini kati. kwa mwanza hesabu ni Tsh elfu ishirini
Uzuri wa bajaji.
- Gharama nafuu za uendeshaji
- Devera anajilipa mwenyewe cha msingi hesabu yako ikamilike
- Kodi Tsh Laki moja na nusu kwa mwaka
- Spare bei nafuu
Mkuu, nimeona ushauri wako ni mzuri. Kuna issue ya kuingia mkataba na Dereva baada ya miaka kadhaa Bajaji inakuwa yake, je inaweza kusaidia ajitume na kuitunza Bajaji?Nkondo 2
1. Naomba kufahamu bei halisi ya kununua bajaji mpya.
TVS-7.3M na RE BAJAJ-7M
2. Tahadhar muhimu za kuchukua/kuzngatia pindi naponunua bajaji mpya.
-nunua mpya usichukue second hand
-umesema unatokea Mwanza, kwa jiografia ya huo mji chukua RE-BAJAJ hizi zina nguvu lakini sio fuel efficiency, spare parts zake ni ghali compared to TVS KING
3. Naomba kufahamu taratibu muhimu za kufuata kabla ya kuanza biashara hii.
-Tafuta dereva mzuri, huyu kumpata unaweza fanya uchunguzi kupitia watu wanaoendesha naye
-ikatie comprehensive insuarance tumia bima ya CRDB ni 6% ya bei ya chombo
-Itengee akaunti special hela itakapokuwa inaingia
4. Changamoto za biashara hii.
-uaminifu wa madereva(hesabu)
-ajali barabarani
-service on time kufanya
-matumizi ya spare original
6. Ushaur kuhusu mengineyo.
-hakikisha unachukua hela kwa siku, usikubali uchukue hela kwa week mtasumbuana na dereva
-siku ya service hakikisha unakuwepo wewe/muwakilishi kujiridhisha vifaa vinavyowekwa ni Genuine
-kuna makampuni yana jishughulisha na kufanya service, usipende sana mafundi wa mitaani kuibiwa njenje
-mzuie/muonye dereva kukitoa chombo kukoroga/day waka
-ukinunua chombo waweza kaa nacho miezi hata 6-8 then kitoe kwa dereva kama mkataba ili kisikusumbue saana
wick
100% yeah kama akijua baada ya muda fulani itakuwa yake then lazima ataitunza vizuri ili akitaka kuiuza aje aiuze kwa ei nzuri. Halafu itakuondolea stress mmiliki.Mkuu, nimeona ushauri wako ni mzuri. Kuna issue ya kuingia mkataba na Dereva baada ya miaka kadhaa Bajaji inakuwa yake, je inaweza kusaidia ajitume na kuitunza Bajaji ?
Soma maelezo yakeKwa mipango yako unataka ifanye kazi mkoa gani?
Nilishasoma mkuu ila nimemuuliza kwa mara ya pili kwa sababu naijua iringa barabaraSoma maelezo yake
Bado atakujibu Iringa. Mpe ushauri moja kwa mojaNilishasoma mkuu ila nimemuuliza kwa mara ya pili kwa sababu naijua iringa barabara
Miradi ya vyombo vya moto ina changamoto sana. Fanya kama pesa ni ya kwako. Ila kama umekopa, ipo siku unaweza ukatembea na chupi kichwani!
Bado sijasahau nimelala, saa kumi alfajiri napigiwa simu niende kituoni, Hiace yangu niliyoinunua hata mwezi haujaisha imepata ajali.
Nilienda kimy kimya kituoni nikaichekii, nikapotea kama mwezi kwanza mambo yapoe poe. Nakwambia nilitoka nyumbani na ndala. Kituo cha dala dala nilikiona kiko mbali utadhani Dar na Chalinze.
Nikiangalia hata rejesho moja sijarudisha na chombo ndio kishakula mzinga!