Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni pm fasta...
Nina hela yangu 10m.ninataka kuiwekeza. naomba mnishauri kama nikinunua bajaji 2 zitalipa wadau.
Acheni uchoyo
Wengi tumo humu pia tuna bajaj
Tushirikishane tafadhali bwanabwana
Umeona eeh! neggirl Mimi nakushauri weka maswali yako hapa, unaweza pata majibu mengi mazuri yatakayokusaidia kwa huo utafiti wako. ni vizuri kupata maoni ya watu tofauti, achana na pm.Unataka kufanya utafiti kwa mtu mmoja halafu utoe conclusion? Nafikiri ungeweka maswali yako hadhari ungepata majibu kukoka kwa watu mbalimbali ambao wanaijua hiyo biashara.