kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
Ahsante kwa mawazo yko ya kujenga naamini nitayakiukweli mi nimmiliki wa bajaji changamoto kubwa huwa ni madereva kama utaendesha mwenyewe basi zingatia tu matunzo , pia unaponunua kwa mtu si ajabu ukahitaji matengenezo makubwa mwanzoni . kila la kheri kijana.
Ahsante kwa kunifumbua macho ktk hili ndugu.Tofauti ipo 2stroke ni zakizamani sana usijaribu kabisa kununua kwanza zinasumbuwa, pili hazina nguvu ivyo nakushauli nunua izi tvs modern
Nikweli ndugu ila pia nahis service ya bajaj iliyonunuliwa kwa 4mil haitohitaji zaidi ya lak1 labda niwe nimepigwa, nafikili swala kubwa ni hizi stiker maana hapa sina idea kuhusu malipo yake.Usitumie 4mil yote kununulia labda kama una fedha nyingine zaidi ya hiyo mil 4. Kuna sticker(vibali mbali mbali) vya kulipia... pia utahitaji kuifanyia service kabla ujaanza kazi, na mafuta ya kuanzia... etc
Gharama za kifaa hiki zipojeusisahau kuifungia GPS tracker in case ikiibiwa uipate mapemaaa
tafuta tvs lakini hakikisha body ni nzuri na pia haijachoka. tvs ni nzuri sababu hudumu kwa muda mrefu na zinatengenezekaKuna tofaut gan kat ya tvs king 4stroke na zile za 2stroke.
Ahsante mkuu! nilikua silifaham kabisa hili(ingawa nilikua najua Bajaj huwa zinaibiwa sometimes), nafikilia kufanyia kazi maeneo fulan hiv ninayoyafaham lakin pia nitakua makini Zaidi.Changamoto nyingine ni kupata mgundi (,kijiwe) kuwa muangalifu kuna vijiwe vingine siyo vizuri wana tabia ya kuwachoresha wageni kwa wezi. Ni vizuri ukapata kijiwe ambacho kidogo unakifahamu pamoja na gharama za route ukiweza hayo utafanikiwa hii kazi inalipa karibu.
Ahsante kwa maelezo mazuri yakuelewekaKaribu saana Mimi ni mmiliki na naendesha mwenyewe kwa upande wa changamoto ni kama ifuatavyo tafuta kituo kizuri utakachokua unapaki bajaji yako pili Tvs king ndiozinaongoza kwa kuibiwa tatu kuhusu vibali kuna vibali vinne Bima Sumatra Mapato na Road laisens kiukweli kama utaendesha mwenyewe basi helautaiona
Hiv kuna show room za bajaj kam tunavyouziwa magari?Kununua bajaji used ndio mpango. Kuanzia mil 4+ waweza pata bajaji iliyotumika mwaka mmoja, na kama ilipata mtunzaji basi itakua imenyooka.
Changamoto nyingi huwa zinakua ni madereva waaminifu ila kama utaendesha utaendesha mwenyewe itakua poa sana.
Kila la kheri.