Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

Tofauti ipo 2stroke ni zakizamani sana usijaribu kabisa kununua kwanza zinasumbuwa, pili hazina nguvu ivyo nakushauli nunua izi tvs modern
 
kiukweli mi nimmiliki wa bajaji changamoto kubwa huwa ni madereva kama utaendesha mwenyewe basi zingatia tu matunzo , pia unaponunua kwa mtu si ajabu ukahitaji matengenezo makubwa mwanzoni . kila la kheri kijana.
Ahsante kwa mawazo yko ya kujenga naamini nitaya
Tofauti ipo 2stroke ni zakizamani sana usijaribu kabisa kununua kwanza zinasumbuwa, pili hazina nguvu ivyo nakushauli nunua izi tvs modern
Ahsante kwa kunifumbua macho ktk hili ndugu.
 
Usitumie 4mil yote kununulia labda kama una fedha nyingine zaidi ya hiyo mil 4. Kuna sticker(vibali mbali mbali) vya kulipia... pia utahitaji kuifanyia service kabla ujaanza kazi, na mafuta ya kuanzia... etc
 
Nikweli ndugu ila pia nahis service ya bajaj iliyonunuliwa kwa 4mil haitohitaji zaidi ya lak1 labda niwe nimepigwa, nafikili swala kubwa ni hizi stiker maana hapa sina idea kuhusu malipo yake.
 
Changamoto nyingine ni kupata mgundi (kijiwe) kuwa muangalifu kuna vijiwe vingine siyo vizuri wana tabia ya kuwachoresha wageni kwa wezi. Ni vizuri ukapata kijiwe ambacho kidogo unakifahamu pamoja na gharama za route ukiweza hayo utafanikiwa hii kazi inalipa karibu.
 
Changamoto nyingine ni kupata mgundi (,kijiwe) kuwa muangalifu kuna vijiwe vingine siyo vizuri wana tabia ya kuwachoresha wageni kwa wezi. Ni vizuri ukapata kijiwe ambacho kidogo unakifahamu pamoja na gharama za route ukiweza hayo utafanikiwa hii kazi inalipa karibu.
Ahsante mkuu! nilikua silifaham kabisa hili(ingawa nilikua najua Bajaj huwa zinaibiwa sometimes), nafikilia kufanyia kazi maeneo fulan hiv ninayoyafaham lakin pia nitakua makini Zaidi.
 
Screenshot_2017-02-19-15-01-15.jpg

Hapo kwenye picha ni sehem ya mbele ya bajaj-tvs, kwenye izo switch mbili kushoto kuna disply ndogo na kulia kuna disply ndogo pia.

Swali ni kwamba bajaji nying ninazoziona mtaani(tvs) zinakua na disply moja tu ya kushoto, je ni kawaida kua na dsply moja tu au ni aina flan za tvs ndizo zenye disply mbili kushoto na kulia na si kwa tvs zote? Anaefaham anijuze tafadhari.
 
Karibu saana Mimi ni mmiliki na naendesha mwenyewe kwa upande wa changamoto ni kama ifuatavyo tafuta kituo kizuri utakachokua unapaki bajaji yako pili Tvs king ndiozinaongoza kwa kuibiwa tatu kuhusu vibali kuna vibali vinne Bima Sumatra Mapato na Road laisens kiukweli kama utaendesha mwenyewe basi helautaiona
 
Hiyo kwenye Picha ndiyo TVS King tofauti na hiyo basiujue siyo TVS king
 
Karibu saana Mimi ni mmiliki na naendesha mwenyewe kwa upande wa changamoto ni kama ifuatavyo tafuta kituo kizuri utakachokua unapaki bajaji yako pili Tvs king ndiozinaongoza kwa kuibiwa tatu kuhusu vibali kuna vibali vinne Bima Sumatra Mapato na Road laisens kiukweli kama utaendesha mwenyewe basi helautaiona
Ahsante kwa maelezo mazuri yakueleweka
 
Kununua bajaji used ndio mpango. Kuanzia mil 4+ waweza pata bajaji iliyotumika mwaka mmoja, na kama ilipata mtunzaji basi itakua imenyooka.

Changamoto nyingi huwa zinakua ni madereva waaminifu ila kama utaendesha utaendesha mwenyewe itakua poa sana.
Kila la kheri.
 
Hiv kuna show room za bajaj kam tunavyouziwa magari?
 
Back
Top Bottom