Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Huo ni ushauri kwa watu waoga tu na ambao hawako tayari kukabili changamoto. Kila mwaka utakuwa unabadili madereva!?huu ndio ushauri mzuri, ukitegemea kumuweka mtu akuletee tu ni kazi bure, mi hii kitu ilishaniliza, niliweka mtu ikawa ni usumbufu tu mwishowe nikauza, kama vipi unaweza endesha mwenyewe for supernormal profit
Nakushukuru sana, ila VP kwa uzoefu wako kuhusu usalama yani kuibiwa, suala hill likoje.Bajaji inalipa ukiendesha mwenyewe(namaanisha ukiwa wewe ndio dereva)
Ikitokea umempa dereva atakuletea kuanzia shilingi 15000 mpaka 20000 inategemea na eneo la kazi.
Ila ukiendesha mwenyewe unaweza kukusanya mara mbili au tatu ya hiyo.
Bajaji nzuri ni tvs king.
Sababu:
1. Life span yake ni kubwa inaweza ikafikia hata miaka mitano mpaka kumi bila kugusa injini ukizingatia service kwa wakati.
2. Mafundi wengi wanajua kuzitengeneza kwan mfumo wake hauko complicated.
3. spare zake zinapatikana kwa bei nafuu na kwa urahisi.
Note; ni bajaji pekee inayouzwa kwa gharama kubwa kuliko zote.
Gharama yake pamoja na kodi na bima na sumatra ni around milioni saba(7M).
Risk ya kuibiwa ni kubwa kwenye kila kitu.Nakushukuru sana, ila VP kwa uzoefu wako kuhusu usalama yani kuibiwa, suala hill likoje.
Bajaji endesha mwenyewe mfano uku kwetu watu wameajiriwa but daily wanalala na 30000 au 25000 ashatoa pesa ya mwajiri hapo, endesha mwenyewe then weka 30000 daily baada ya kutoa gharama zote za kula na vitu vingine. 30000 mara mwezi ni 900000 na jee tisa mara 12 i mean mwaka ni 10800000, then unaiza bajaji milion 4 au tatu unafanya biashara nyingine. bajaji na pikipiki ni sehemu za kupitia.
nenda KKoZinapatikana wapi hapo dar?
Ni kweli nasikia comprehensive insurance, hii inakuaje calculation yake kwa chombo kama bajaji ni kiasi gani.Risk ya kuibiwa ni kubwa kwenye kila kitu.
Unachotakiwa ni kuwa makini na dereva unaemkabidhi na kumpa masharti pamoja na mkataba utakaoshuhudiwa na mwanasheria. Pia awe na mdhamini.
Ikiwa unaendesha mwenyewe unatakiwa uwe makini na safari ambazo deatination yake ni tatanishi. Mfano mtu anakukodisha kwenda pugu halafu inaonyesha mtaishia sehemu ambayo sio makazi ya watu
Au safari za usiku kwenda maeneo ambayo huyafahamu.
Nadhani ukizingatia hayo unaweza ukawa salama.
Ili uwe salama zaidi hakikisha unakata bima kubwa(comprehensive insurance) *ya Mungu mengi*
Mr. Unalizungumzia vipi swala la kununua bajaj kwa mtu(second hand) kwa lengo la kufanyia biashara.Bajaji inalipa ukiendesha mwenyewe(namaanisha ukiwa wewe ndio dereva)
Ikitokea umempa dereva atakuletea kuanzia shilingi 15000 mpaka 20000 inategemea na eneo la kazi.
Ila ukiendesha mwenyewe unaweza kukusanya mara mbili au tatu ya hiyo.
Bajaji nzuri ni tvs king.
Sababu:
1. Life span yake ni kubwa inaweza ikafikia hata miaka mitano mpaka kumi bila kugusa injini ukizingatia service kwa wakati.
2. Mafundi wengi wanajua kuzitengeneza kwan mfumo wake hauko complicated.
3. spare zake zinapatikana kwa bei nafuu na kwa urahisi.
Note; ni bajaji pekee inayouzwa kwa gharama kubwa kuliko zote.
Gharama yake pamoja na kodi na bima na sumatra ni around milioni saba(7M).
πππππ Bora umenisaidia kuongea.Jamani kujeni mtupe information wandugu
Bajaji zinalipa sana kwa mikoani kwa dei ni tsh 20,000. sijajua kwa dar per dei inakua sh ngapi, Gharama za uendeshaji sio kubwa kila baada ya wiki tatu unamwaga oil, kwa mwezi haiwezi zidi elfu 20 ya matengenezo, dereva anajilipa mwenyewe, ukiitunza vizuri 3yrs plus. inalipa sana hii business karibuuHabari wadau,
Nipo Dar es Salaam, nahitaji kufanya biashara ya usafirishaji kwa bajaji. Naombeni ushauri kwa wanaoifanya.
- Mapato
- Gharama za uendeshaji
- Miaka inayoweza kutumika kabla haijachoka
- Changamoto
Na maoni mengine yeyote yanayoweza kunijenga. Nawasilisha.