Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Mkuu hamna biashara inayokosa changamoto so ni kumpa moyo na kumpa ushauri mzuri mkuu...karibu Sana Event 9 limited tukusaidie kuhusu biashara hii
Thanks for tha services.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hamna biashara inayokosa changamoto so ni kumpa moyo na kumpa ushauri mzuri mkuu...karibu Sana Event 9 limited tukusaidie kuhusu biashara hii
Biashara pasua kichwa hyo. Ndio nlicho maanisha. Kupata kijana mstaarab na mwaminifu ni bahati sanaa. Wapo vijana ukimpa bajaj yako hutakaa usikie ikiharibika ovyo (nidham ya matumizi/uendeshaji)...ila wengine kila siku utafanya kutafuta spare kkoo/ilala alaf returns za kipuuzi.
Kama mtu ana kimtaji chake anataka kukaza kivyake hapo sawa itamtoa big tym (wapo watu wamejenga from bajaj)....hata uendeshaji wako utakua wa adabu.
Bajaji nzuri ni TVS. Hesabu kwa sasa ni 20,000 kwa siku. Ikatie bima kubwa/ comprehensive insurance ili hata ikiibiwa or kupata ajali uweze kulipwa na bima. Ili idumu ni vizuri uachie siku moja ya week ufanyie service, hata kama dereva ndo anaifanyia services, jitahid walau Mara 1 Kwa mwezi uwepo wakati wa service. Na pia ili Bajaji isiwe over worked, mpe dereva limit ya mda wa kurudisha Bajaji jioni na ilale na wewe kuavoid cases za Wizi na pia kufanya Kazi masaa 24.
Hello wakuu salaam zenu
kwa wale wazoefu na biashara ya bajaji naombeni mnipe mchanganuo coz kuna pesa kiasi hapa nataka kwekeza katika biashara hio , na pia ni bajaji gani ni imara kati ya boxer , piaggio, au atul??
Msaada wenu ni muhimu sana katika hili.
Mkuu, nakushauri ufanye hiyo biashara kwa kuwa ni profitable. Mimi pia ninafanya hiyo biashara na mpaka sasa ninazo mbili. Three-wheeler nzuri ni TVS King maana inadumu kwa muda mrefu na pia ni rahisi kupata spare zake na bei nafuu ukilinganisha na aina nyingine za Three-wheelers. Mimi 'Bajaj' zangu kwa siku hesabu ni sh 20,000 each so kwa mwezi inanipa sh 600,000 kwa kila moja (hapo excluding services). Bajaj kwa mwezi zinafanya service mara mbili ili ziendelee kuwa na hali nzuri na esttimation ya service ni sh 22,000 so kwa mwezi gharama inakuwa sh 44,000-45,000. Hakikisha unakuwa na kijana anayeeleweka maana huyu ndio a 'secret' ya mafanikio yako, chukua kijana mwenye 'commitment' hapo hutapata usumbufu sana. Pia hakikisha Bajaj yako ina vibali vyote ili usiwe unapoteza hesabu yako kwa kudanganya kuwa amekamatwa na traffic imebidi ampe hesabu yako, vibali ni SUMATRA, Insurance na Road licence (Road licence unalipia once tu maana serikali imetoa msamaha kwa Bajaj na pikipiki kwenye hili). I hope nimeweza kukusaidia kwa kiasi chake.
P.S Sehemu nyingine, mfano Africana njia ya chini hesabu ni sh 25,000 kwa siku so inategemea na location pia mkuu
- itaharibika mara ngapi mwaka mzima?
- haitafanya kazi mara ngapi kwa sababu ya dereva mgonjwa au safari binafsi(lets say matatizo)
-utatumia wewe kwa matumizi yako binafsi mara ngapi.?
-itakamatwa na polisi mara ngapi(kutoa rushwa)
- etc..
Baada ya mwaka unasema unamwachia,bajaji umenunua mil 5 mwisho wa mwaka umepata mil 10 na bajaji umemwachia mtu huoni faida inakuwa ni chini ya mil 5 mwaka mzima? Na umempa mtu mil 5 hivi hivi? Halafu utanunua mpya au??????
Mkuu, nakushauri ufanye hiyo biashara kwa kuwa ni profitable. Mimi pia ninafanya hiyo biashara na mpaka sasa ninazo mbili. Three-wheeler nzuri ni TVS King maana inadumu kwa muda mrefu na pia ni rahisi kupata spare zake na bei nafuu ukilinganisha na aina nyingine za Three-wheelers. Mimi 'Bajaj' zangu kwa siku hesabu ni sh 20,000 each so kwa mwezi inanipa sh 600,000 kwa kila moja (hapo excluding services). Bajaj kwa mwezi zinafanya service mara mbili ili ziendelee kuwa na hali nzuri na esttimation ya service ni sh 22,000 so kwa mwezi gharama inakuwa sh 44,000-45,000. Hakikisha unakuwa na kijana anayeeleweka maana huyu ndio a 'secret' ya mafanikio yako, chukua kijana mwenye 'commitment' hapo hutapata usumbufu sana. Pia hakikisha Bajaj yako ina vibali vyote ili usiwe unapoteza hesabu yako kwa kudanganya kuwa amekamatwa na traffic imebidi ampe hesabu yako, vibali ni SUMATRA, Insurance na Road licence (Road licence unalipia once tu maana serikali imetoa msamaha kwa Bajaj na pikipiki kwenye hili). I hope nimeweza kukusaidia kwa kiasi chake.
P.S Sehemu nyingine, mfano Africana njia ya chini hesabu ni sh 25,000 kwa siku so inategemea na location pia mkuu
Unapoikatia bima kubwa huna haja ya kumwambia dereva wako kuhusu hilo na kikubwa unamuwekea muda reasonable wa kulaza 'chombo'. Kama mimi za kwangu huwa zinalala saa tatu kamili, akizidisha hata lisaa limoja ananilipa sh 30,000 so ikitokea bahati mbaya/nzuri amepata mteja wa mbali na muda unakaribia kumalizika huwa anapiga simu nijue kabisa his 'wherebouts'.
Papizo, dereva anajilipa mwenyewe hapo, unaweza mpangia masaa ya kazi tokea saa kumi na moja asubuhi mpaka saa mbili usiku. Bima inategemea, third party ni 120,000 i guess and comprehensive ita depend umei value kiasi gani...ila hesabu ya comprehensive i guess ni 3.5% ya value ya Bajaj yako, you can do the Math there. Hope nimekujibu mkuu